Mpentecoste
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 283
- 319
Umezingua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka kesho hakuna atakayeweza kuthibitisha Mungu yupo.Kwa mimi nadhani Mungu ni jina tuu wanadam wamelitengeneza katika kutafuta uwepo wa nguvu ya ulimwengu isiyoelezeka. Lakini hiyo nguvu iko ndani ya kila mtu na ndo mana hatufi, ila huu mwili wa nje una expire tuu. Mafanikio yote unayoyaona ni wewe mwenyewe umejipatia kwa sabab una nguvu ndani yako.
Mfano huwezi kulala hapo na kusema unataka milion mia idondoke paa, ni mpaka uinuke ukaifanyie kazi, ni wewe ndo utafanya hiyo milioni ipatikane na sio kwa kukaa na kuomba mungu tuliefundishwa
NAKAZIA.Mimi ni kijana ambaye Kwa muda wa miaka 2 nimekuwa nikifatilia mijadala mbalimbali hapa Jf katika jukwaa hili la intelligence. Moja ya mijadala ambayo imekuwa ikinivutia sana ni hii ya dhana ya uwepo wa Mungu.
Swali kubwa ambalo nimeku wa nikijiuliza ni " Mungu alitoka wapi"
Baada ya kuisoma sana biblia na Quran pamoja na kuwahoji viongozi mbalimbali wa dini, hatimaye nikapata jibu la swali lililonitatiza muda mrefu, Mungu alitoka wapi?
Nimegundua kuwa muumba wa Mungu ni mwanadamu. Yes mwanadamu kama Mimi na wewe ndiye aliyemuumba Mungu.
Kwanini nimefikia hitimisho hilo?
Vitabu tunavyoaminishwa kuwa ni vya Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu ( biblia & Quran) ni vitabu vyenye makosa mengi sana ya kimantiki na habari nyingi zenye utata, jambo ambalo tusingetegemea liwepo katika kitabu kilichoandikwa kwa muongozo kutoka kwa Mungu mkuu mwenye uwezo asiyeshindwa na kitu.
Uwepo wa habari hizo zenye utata zinadhihirisha moja kati ya mambo yafuatayo.
1. Mungu hana ukuu tunaoambiwa ndio sababu ameshindwa kutoa mwongonzo mzuri katika kuandika kitabu kisicho na makosa ya kimatinki.
2. Habari hizi ni zao la fikra za mwanadamu aliyeishi katika zama za giza na ujinga. Mwanadamu ambae alitaka kutafuta majibu mepesi katika maswali magumu yaliyomzunguka ndio sababu zina utata.
Kama jibu ni 1 basi Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu hayupo Bali aliyepo ni dhaifu na mbabaishaji aliyeshindwa kuandika vizuri kitabu kinachomuelezea yeye mwenyewe.
Kama jibu ni 2 ,basi Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu hayupo ndiyo sababu akatokea mtu akatunga habari kutokana na fikra zake mwenyewe. Angekuepo asingeruhusu magepu katika fikra za mwanadamu ambayo yamepelekea mwanadamu huyo kujitungia majibu mepesi na habari zenye utata ili kuziba hayo magepu katika fikra zake.
Pointi zote mbili utaona zinaonyesha kuwa Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu mjuzi wa yote hayupo Bali " ama aliyepo ni dhaifu,mbabaishaji na asiye na uelewa wowote kuhusu ulimwengu, ama dhana nzima ni hadithi ya kutungwa katika fikra za mwanadamu aliyeishi katika zama za ujinga na kukosa access ya taarifa mbalimbali.
Nawasilisha.
Astaghfirullah...
[emoji7]Kijana unatikisa mbuyu umejikuta unatikisa makalio yako mwenyewe.
Hata kama huamini achana na hilo DUDE linaloitwa MUNGU. Lipo nje ya uwezo wako kulielewa.
tafuta muda wa peke yako, uyaangalie mazingira yako milima na mabonde, nyota angani, wanyama, samaki, wadudu, ndege, n.k (angalia usiku na muda wa mchana)
Utaanza taratibu kugundua kuwa kumuamini MUNGU inahitaji kuuvua huo ujuaji wako.
tuliza akili kijana!
Nitakua mpumbavu sana endapo Nita amini Mungu kwa sababu ya vitisho. Kama vile moto sijui nyoka kaburini sijui pumzi zikikata uongo mtupuMwanadamu bhana kapewa pumzi baada ya kumshukuru Muumba wake yeye anamkufuru kama hivi
Subiri siku iyo pumzi ikate ndo utamjua Mungu vizuri kma saivi hutaki kumjua
Sawa MPUMBAVU subiri yakufike hlf utajua hujuiNitakua mpumbavu sana endapo Nita amini Mungu kwa sababu ya vitisho. Kama vile moto sijui nyoka kaburini sijui pumzi zikikata uongo mtupu
Kwa hiyo bila ya vitisho utamuamini Mungu?!!Nitakua mpumbavu sana endapo Nita amini Mungu kwa sababu ya vitisho. Kama vile moto sijui nyoka kaburini sijui pumzi zikikata uongo mtupu
[emoji1787][emoji1787]Sawa MPUMBAVU subiri yakufike hlf utajua hujui
Ee mbaba msamehe huyu shetanialiyepo ni dhaifu na mbabaishaji aliyeshindwa kuandika vizuri kitabu kinachomuelezea yeye mwenyewe
TengenezaHoja nyepesi sana...Kila kitu hiki kinajulikana mechanisms zake
Ukidanja utaenda uliza hayo maswali sisi hatujuiVipi kuhusu watu wanaozaliwa vipofu macho yao hayawezi kutazama na kutofautisha rangi ?
Je hao wana kosa gani? Ama kwa sababu gani wameumbwa hawajakamilika kama wenzao
uko sahihi mkuu mimi ni mkristo kwenye AYUBU 22:21 inasema mjue sana mungu ndipo mema yatakapojiaKwanini awe mgumu kueleweka kwa viumbe wake?
Hataki tumjue?
Aiseee we kijana unamuita Mungu mbabaishajii...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji114][emoji114][emoji114]Mimi ni kijana ambaye Kwa muda wa miaka 2 nimekuwa nikifatilia mijadala mbalimbali hapa Jf katika jukwaa hili la intelligence. Moja ya mijadala ambayo imekuwa ikinivutia sana ni hii ya dhana ya uwepo wa Mungu.