Unajua Mungu aliumbwa na nani?

Unajua Mungu aliumbwa na nani?

Kwa mimi nadhani Mungu ni jina tuu wanadam wamelitengeneza katika kutafuta uwepo wa nguvu ya ulimwengu isiyoelezeka. Lakini hiyo nguvu iko ndani ya kila mtu na ndo mana hatufi, ila huu mwili wa nje una expire tuu. Mafanikio yote unayoyaona ni wewe mwenyewe umejipatia kwa sabab una nguvu ndani yako.
Mfano huwezi kulala hapo na kusema unataka milion mia idondoke paa, ni mpaka uinuke ukaifanyie kazi, ni wewe ndo utafanya hiyo milioni ipatikane na sio kwa kukaa na kuomba mungu tuliefundishwa
 
Mpaka kesho hakuna atakayeweza kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.

Kama mtu anabisha, athibitishe Mungu yupo.
 
Mimi ni kijana ambaye Kwa muda wa miaka 2 nimekuwa nikifatilia mijadala mbalimbali hapa Jf katika jukwaa hili la intelligence. Moja ya mijadala ambayo imekuwa ikinivutia sana ni hii ya dhana ya uwepo wa Mungu.

Swali kubwa ambalo nimeku wa nikijiuliza ni " Mungu alitoka wapi"

Baada ya kuisoma sana biblia na Quran pamoja na kuwahoji viongozi mbalimbali wa dini, hatimaye nikapata jibu la swali lililonitatiza muda mrefu, Mungu alitoka wapi?

Nimegundua kuwa muumba wa Mungu ni mwanadamu. Yes mwanadamu kama Mimi na wewe ndiye aliyemuumba Mungu.

Kwanini nimefikia hitimisho hilo?

Vitabu tunavyoaminishwa kuwa ni vya Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu ( biblia & Quran) ni vitabu vyenye makosa mengi sana ya kimantiki na habari nyingi zenye utata, jambo ambalo tusingetegemea liwepo katika kitabu kilichoandikwa kwa muongozo kutoka kwa Mungu mkuu mwenye uwezo asiyeshindwa na kitu.

Uwepo wa habari hizo zenye utata zinadhihirisha moja kati ya mambo yafuatayo.

1. Mungu hana ukuu tunaoambiwa ndio sababu ameshindwa kutoa mwongonzo mzuri katika kuandika kitabu kisicho na makosa ya kimatinki.

2. Habari hizi ni zao la fikra za mwanadamu aliyeishi katika zama za giza na ujinga. Mwanadamu ambae alitaka kutafuta majibu mepesi katika maswali magumu yaliyomzunguka ndio sababu zina utata.

Kama jibu ni 1 basi Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu hayupo Bali aliyepo ni dhaifu na mbabaishaji aliyeshindwa kuandika vizuri kitabu kinachomuelezea yeye mwenyewe.

Kama jibu ni 2 ,basi Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu hayupo ndiyo sababu akatokea mtu akatunga habari kutokana na fikra zake mwenyewe. Angekuepo asingeruhusu magepu katika fikra za mwanadamu ambayo yamepelekea mwanadamu huyo kujitungia majibu mepesi na habari zenye utata ili kuziba hayo magepu katika fikra zake.

Pointi zote mbili utaona zinaonyesha kuwa Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu mjuzi wa yote hayupo Bali " ama aliyepo ni dhaifu,mbabaishaji na asiye na uelewa wowote kuhusu ulimwengu, ama dhana nzima ni hadithi ya kutungwa katika fikra za mwanadamu aliyeishi katika zama za ujinga na kukosa access ya taarifa mbalimbali.

Nawasilisha.
NAKAZIA.
 
Alishindwa Kiranga na Rakims, je wewe utaiweza hiyo vita kubwa iliyoko mbele yako?
Astaghfirullah...

Ewe kafiri kufurah shirki ifikie sehemu usiwe unaniunganisha na mtu ambaye haamini uwepo wa Mwenyezi Mungu na upunguze uzushi...

Kama unatafuta uzushi mbona wapo member wengi tu wanapinga uwepo wa Mungu kwa nini usiwatag hao?

Ulishawahi kuona naanzisha mada napinga uwepo wa Mungu?

Ulishawahi kuona naquote sehemu na kukubali kuwa Hakuna Mwenyezi Mungu?

Ulishawahi kuona nachangia mijadala kama hii?

Unawashwa mkuu?

Em jitizame kwanza ikiwa pombe au bange unazovuta siku hizi zinakukataa ni bora uache...

Acha kwanza vinavyokupelekea kuandika Pumba...

Eti ameshindwa ny#ko na ny#ko...
Ifikie sehemu username yangu kama inakuwasha itengenezee mkono wa plastik iwe inakukuna..

Mwisho wa yote tuheshimiane...

Rakims
 
Mwanzo nilikuwa nahisi ni moja ya watu wenye akili timamu kumbe na wewe ni Mpumbavu tu....

Chukua namba wewe ni mpumbavu namba 25 kwenye list ya wapumbavu wa humu

Bujibuji Simba Nyamaume

Rakims
 
Poleni Sana kwa kupoteza mda KUJADILI jambo ambalo hata ubongo wenu hauna uwezo wa kulijadili Hilo jambo,

MUNGU kashajielezea ktk Quran isome ayatul kursiyu mule utaiona , mtoa post hujui ulisemalo labda niwaambie jambo moja hakuna Binadamu mwenye upeo au akili ya kutambua MUNGU yukoje na Yuko wap, na Wala hakuna kiumbe yoyote mwenye huo upeo.

Hata hao malaika wenyewe ambao inasemekana wako huko mbingun pia hawamjui MUNGU Yukoje

lakn zipo ishara zinazotuonesha ukubwa wa Mungu na uwepo wake pia

Labda niwape mfano huenda mkanielewa

Leo hii Kila mtu anaamin uwepo wa upepo
Lakn hakuna aliewah kuoana huo upepo Wala hakuna ajuaye upepo una umbo gan?

Ni nn kilikufanya ujue upepo upo?
Ni viashiria ambavo huonekana kwa macho,

Hivi yapo mambo mengi Sana ukiyaona yakutosha kuamin Mungu yupo na Ana uwezo mkubwa pia hakuna wa kufanana nae,

Hivo hakuna kiumbe aliepewa upeo wa kumtambua Mungu kiundan isipokua Mungu anajijua yeye mwenyewe tu

Na mungu kabla hajaumba viuembe alishajua kua iko SIKU viumbe hao watamjadili na kutaka kujua yeye yukoje, anakaa wap? Ana umbo gan?
Haya yote alishayajua kabla,

MAMBI 2 AMBAYO NI VIASHILIA VA NGUVU KUBWA YA MUNGU

1 kuumbwa kwa viumbe wadogo mno wasioonekana kwa macho ya kawaida
, Viumbe wadogo Kama bacteria , virus wa ukimwi, maralia, Hawa huwez Kuwaona ktk macho ya kawaida lazma utumie vipimo Kama microscop, na mbali na udogo wa Hawa viumbe pia ndan ya miili Yao Wana mishipa ya damu na moyo Yan mfuno wa chakula Kama wa viumbe wengine Sasa utajiuliza Mungu aliwezaje kuimba viumbe awa akaeka mifumo yote tumbon mwao

2 kuumbwa kwa viumbe wakubwa Zaid kuizid dunia

Leo hii watu waniona dunia ni kubwa mno lakn wapo viumbe wakubwa ambao Mungu kawaumba kuzidi hiyo dunia yenyewe
Ukisoma vitabu utaona malaika jibril alichowafanya watu wa sodoma na gomola, Yan aliibeba ardhi had huko mbingun Kisha akaifunika juu chini chini juu Yan , jibriil ni miongon mwa viumbe wakubwa mno ambae yeye tu ukubwa wake hauwez kuelezeka huyo ni malaika tu ,
Na bado wako viumbe wakubwa kumzid huyo jibril
Hapo bado hujamfikia Mungu mwenyewe

HIVO NDUGU ZANGU LETEN MADA ZOTE LAKN SWALA LA KUMJADILI MUNGU ACHEN MTAISHI MTAKUFA NA BADO HAMTOJUA MUNGU YUKOJE?

IYO NI sili yake mwenyewe MUUMBA hakuna ajuaye
 
Kijana unatikisa mbuyu umejikuta unatikisa makalio yako mwenyewe.

Hata kama huamini achana na hilo DUDE linaloitwa MUNGU. Lipo nje ya uwezo wako kulielewa.

tafuta muda wa peke yako, uyaangalie mazingira yako milima na mabonde, nyota angani, wanyama, samaki, wadudu, ndege, n.k (angalia usiku na muda wa mchana)

Utaanza taratibu kugundua kuwa kumuamini MUNGU inahitaji kuuvua huo ujuaji wako.

tuliza akili kijana!
[emoji7]
 
Mwanadamu bhana kapewa pumzi baada ya kumshukuru Muumba wake yeye anamkufuru kama hivi

Subiri siku iyo pumzi ikate ndo utamjua Mungu vizuri kma saivi hutaki kumjua
Nitakua mpumbavu sana endapo Nita amini Mungu kwa sababu ya vitisho. Kama vile moto sijui nyoka kaburini sijui pumzi zikikata uongo mtupu
 
Nitakua mpumbavu sana endapo Nita amini Mungu kwa sababu ya vitisho. Kama vile moto sijui nyoka kaburini sijui pumzi zikikata uongo mtupu
Sawa MPUMBAVU subiri yakufike hlf utajua hujui
 
Hoja nyepesi sana...Kila kitu hiki kinajulikana mechanisms zake
Tengeneza

Imagine Kama umezaliwa Ni lazima ufe there's no way utakimbia kifo,,, kaa na Wana sayansi wako mchunguzeni binadamu mkiona moyo mbovu utibu au figo mbovu badili ila utakufa tu hata bila kuumwa unalala huamki Tena ndo bye bye

Achaneni na uumbaji
 
Kwanini awe mgumu kueleweka kwa viumbe wake?
Hataki tumjue?
uko sahihi mkuu mimi ni mkristo kwenye AYUBU 22:21 inasema mjue sana mungu ndipo mema yatakapojia

kwa hiyo mungu mwenyewe kaagiza tumjue kiundani ...
 
Mimi ni kijana ambaye Kwa muda wa miaka 2 nimekuwa nikifatilia mijadala mbalimbali hapa Jf katika jukwaa hili la intelligence. Moja ya mijadala ambayo imekuwa ikinivutia sana ni hii ya dhana ya uwepo wa Mungu.

Swali kubwa ambalo nimeku wa nikijiuliza ni " Mungu alitoka wapi"

Baada ya kuisoma sana biblia na Quran pamoja na kuwahoji viongozi mbalimbali wa dini, hatimaye nikapata jibu la swali lililonitatiza muda mrefu, Mungu alitoka wapi?

Nimegundua kuwa muumba wa Mungu ni mwanadamu. Yes mwanadamu kama Mimi na wewe ndiye aliyemuumba Mungu.

Kwanini nimefikia hitimisho hilo?

Vitabu tunavyoaminishwa kuwa ni vya Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu ( biblia & Quran) ni vitabu vyenye makosa mengi sana ya kimantiki na habari nyingi zenye utata, jambo ambalo tusingetegemea liwepo katika kitabu kilichoandikwa kwa muongozo kutoka kwa Mungu mkuu mwenye uwezo asiyeshindwa na kitu.

Uwepo wa habari hizo zenye utata zinadhihirisha moja kati ya mambo yafuatayo.

1. Mungu hana ukuu tunaoambiwa ndio sababu ameshindwa kutoa mwongonzo mzuri katika kuandika kitabu kisicho na makosa ya kimatinki.

2. Habari hizi ni zao la fikra za mwanadamu aliyeishi katika zama za giza na ujinga. Mwanadamu ambae alitaka kutafuta majibu mepesi katika maswali magumu yaliyomzunguka ndio sababu zina utata.

Kama jibu ni 1 basi Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu hayupo Bali aliyepo ni dhaifu na mbabaishaji aliyeshindwa kuandika vizuri kitabu kinachomuelezea yeye mwenyewe.

Kama jibu ni 2 ,basi Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu hayupo ndiyo sababu akatokea mtu akatunga habari kutokana na fikra zake mwenyewe. Angekuepo asingeruhusu magepu katika fikra za mwanadamu ambayo yamepelekea mwanadamu huyo kujitungia majibu mepesi na habari zenye utata ili kuziba hayo magepu katika fikra zake.

Pointi zote mbili utaona zinaonyesha kuwa Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu mjuzi wa yote hayupo Bali " ama aliyepo ni dhaifu,mbabaishaji na asiye na uelewa wowote kuhusu ulimwengu, ama dhana nzima ni hadithi ya kutungwa katika fikra za mwanadamu aliyeishi katika zama za ujinga na kukosa access ya taarifa mbalimbali.

Nawasilisha.
Aiseee we kijana unamuita Mungu mbabaishajii...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji114][emoji114][emoji114]
 
Back
Top Bottom