Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Nimemaliza kuangalia documentary ya baba na mkewe waliofanya mauaji ya watu kumi na mbili na kuwafukia nyumbani kwao na hawakujulikana wala kukamatwa kwa zaidi ya miaka 27.
Imenifanya nikawaza hivi watu wangapi wameuawa kikatili na wakazikwa bila ndugu au jamaa zao kujua?
Unamfahamu mtu yoyote iwe ndugu, rafiki au mtu wa mtaani aliyepotea ghafla tu na mpaka sasa haijulikani kama yuko hai au amekufa?
Share mkasa wake, alipoteaje?
Kama mazingira yanaruhusu, weka na jina na taarifa zake ili tumfahamu.