Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #21
Alipotea ameenda kazini, safari, au ilikuwaje?Uncle wangu huu mwaka wa 20+ hatujui yupo wapi
Alipotea ameenda kazini, safari, au ilikuwaje?Uncle wangu huu mwaka wa 20+ hatujui yupo wapi
Inaumiza sana, naionea huruma familia yake.Mdude nyaghali
Mkaka mzuri, mwenye a whole life ahead of him, akapotea hivi hivi 🥹🥹😔Stone tangawizi alitukosea sana kutuchukulia mbegu km ile.. 😥🥹
Poleni sana, alipoteaje?Mmoja wapo Mwaka Jana alipotea mazingira ya kutatanisha ndugu zake na sisi majirani zake hatujui alipo
Ndugu zake walizunguka vituo vyote vya polisi na Hospital hakupatikana
Yule alikua mzuri mwanaume wa kumsusia placenta kabisa, maana unajua lazima vitatoka vitoto vinavyojielewa…!!Mkaka mzuri, mwenye a whole life ahead of him, akapotea hivi hivi 🥹🥹😔
Asante, nimeongeza kwenye maelezo ya uzi, watu waweke majina pale inapowezekana.Huu uzi ni mzuri. Ni vyema kuweka na majina.
Daah, poleni sana!Nakuwa napata akili nasikia kuna kaka yangu wa baba mmoja, aliondoka na hajarudi tena home, haijulikani mzima ama umauti ushambeba,
Wengi wanaamini ameshafariki
Kabisa, hivi hakuacha watoto?Yule alikua mzuri mwanaume wa kumsusia placenta kabisa, maana unajua lazima vitatoka vitoto vinavyojielewa…!!
Hapo Cromwell Street nimefika kuna jamaa zangu walikuwa wanaishi huo mji.Ni yeye na mkewe, imagine walimuua mpaka mtoto wao 😔😭
House of Horrors - 25 Cromwell Street, Gloucester
View attachment 3399735
Kuna familia moja mtoto wao mkubwa tu alienda Dar kutafuta maisha na alikaa muda.Uncle wangu huu mwaka wa 20+ hatujui yupo wapi
AhsanteDaah, poleni sana!
Dah! Bibi yangu aliondokaga nyumbani baada ya babu kuoa mke wapili. Inasemekana alionekana machimboni Kahama huko ila mpaka mamaangu anafariki mwaka jana(mwanae) yeye hajurikani alipo ni miaka 35 mpaka sasa hajulikani alipo, kama yuko hai au ameshafariki..,tumeshashukuru kuonana nae tena hapa duniani.🥹🥹Nimemaliza kuangalia documentary ya baba na mkewe waliofanya mauaji ya watu kumi na mbili na kuwafukia nyumbani kwao na hawakujulikana wala kukamatwa kwa zaidi ya miaka 27.
Imenifanya nikawaza hivi watu wangapi wameuawa kikatili na wakazikwa bila ndugu au jamaa zao kujua?
Unamfahamu mtu yoyote iwe ndugu, rafiki au mtu wa mtaani aliyepotea ghafla tu na mpaka sasa haijulikani kama yuko hai au amekufa?
Share mkasa wake, alipoteaje?
Kama mazingira yanaruhusu, weka na jina lake tumfahamu.
View attachment 3399750
Pole kwa babu yako na familia yao kipindi hicho kwa walichopitia.Babu mzaa baba wa mama yangu alihamia machame akaoa mwanamke akazaa watoto , mwisho wa siku kazi iliyo mleta ipo isha akaondoka zake mpaka leo hajulikani alipo na alitokea nchi gani