Unajua stori ya mtu ambaye alipotea tu ghafla na hajulikani kama yuko hai au amekufa?

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
15,052
Reaction score
36,866
Nimemaliza kuangalia documentary ya baba na mkewe waliofanya mauaji ya watu kumi na mbili na kuwafukia nyumbani kwao na hawakujulikana wala kukamatwa kwa zaidi ya miaka 27.

Imenifanya nikawaza hivi watu wangapi wameuawa kikatili na wakazikwa bila ndugu au jamaa zao kujua?

Unamfahamu mtu yoyote iwe ndugu, rafiki au mtu wa mtaani aliyepotea ghafla tu na mpaka sasa haijulikani kama yuko hai au amekufa?

Share mkasa wake, alipoteaje?

Kama mazingira yanaruhusu, weka na jina na taarifa zake ili tumfahamu.

 
Pia nilisoma story moja miezi kadhaa iliyopita, kuna mifupa ilikutwa kwenye shimo la choo kwenye nyumba ya kupanga Tabata na inaonekana mwili ulitupwa kipindi kirefu sana, umebaki fuvu na mifupa tu, haukuweza kutambulika.

 
Wapo mpaka wakanifanya nikaandika uzi huu (6,630) Ziraili wa gizani | JamiiForums Ziraili wa gizani
 
Mdude nyaghali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…