Unajua Umeoa Mke wa mtu, punguza jazba na Relax

Unajua Umeoa Mke wa mtu, punguza jazba na Relax

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
12,463
Reaction score
27,556
Wanaume mpini wa bua Habari zenu asbh hii!!

Jtatu nyingine wapendwa wenu wameenda kuambatana na waume zao maofisini(kazini)

Leo watatoana Lunch kama kawaida na mambo kadhaa wa kadhaa watafanya juma Zima hili.

NAJUA HAYANIHUSU LAKINI SHARTI NIWAAMBIE.

Umeoa mke wa mtu pengine hata anawatoto wawili ama mmoja halafu unaleta jazba na masharti kibao kama waganga wa sumbawanga Relax bro.

Huyo mke wako pengine unatoka kazini unamkuta kanuna bila sababu badala uulize Kwa upole pasina hasira unaanza kubweka hujui kwamba huenda kazinguana na mzazi mwenzie?

Mtu kanuna Hana Raha Wala furaha na hujakosea kosa lolote lile Bado unaanza kumuuliza mamaP nimekosea nini mke wangu? Hivi uko serious bro?

Wewe ulijua na unajua huyo Si wako peke yako kwanini usimpe lkizo nzuri isyo na kikomo akaonane na mzàzi mwenzake?😹😹

Muda mwingine ndoa zenu zinashikiliwa na wazazi wenza wa wake zenu muda wowote akimuhitaji hakuna kitu utafanya.

Kwa heri ya kuonana hapo badae.
 
Wanaume mpini wa bua Habari zenu asbh hii!!

Jtatu nyingine wapendwa wenu wameenda kuambatana na waume zao maofisini(kazini)

Leo watatoana Lunch kama kawaida na mambo kadhaa wa kadhaa watafanya juma Zima hili.

NAJUA HAYANIHUSU LAKINI SHARTI NIWAAMBIE.

Umeoa mke wa mtu pengine hata anawatoto wawili ama mmoja halafu unaleta jazba na masharti kibao kama waganga wa sumbawanga Relax bro.

Huyo mke wako pengine unatoka kazini unamkuta kanuna bila sababu badala uulize Kwa upole pasina hasira unaanza kubweka hujui kwamba huenda kazinguana na mzazi mwenzie?

Mtu kanuna Hana Raha Wala furaha na hujakosea kosa lolote lile Bado unaanza kumuuliza mamaP nimekosea nini mke wangu? Hivi uko serious bro?

Wewe ulijua na unajua huyo Si wako peke yako kwanini usimpe lkizo nzuri isyo na kikomo akaonane na mzàzi mwenzake?😹😹

Muda mwingine ndoa zenu zinashikiliwa na wazazi wenza wa wake zenu muda wowote akimuhitaji hakuna kitu tutafanya.

Kwa heri ya kuonana hapo badae.
Mkuu nini kimekuoata asubuhi hii?
 
Ke yeyote awe ni bikra, si bikra awe alishazalishwa au hakuzalishwa ukamuoa au ukaishi naye kimapenzi, akitaka kuliwa ataliwa tu.

NB: Karne ya 21 mapenzi, ndoa ni tafrani tupu, jipende mwenyewe usilazimishe kupendwa.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Mwanamke uliyemuoa bikira huyo ni wako. Yote yaliyoduniani wewe ndiye founder.
Wewe ndiye uliyemfundisha uhuni, ushenzi na ukabaila.

Wengine watafuata na hilo wanaume haliwaumi.

Huwezi mkuta mwanaume aliyetoa bikira mwanamke akawa na mawivu ya kijinga jinga
 
Bikra kibao hatujawaoa sababu bikra si kigezo cha Ke kutokuwa mchoyo/mbinafsi, mchafu, mvivu, mshirikina, mmbeya, asiye na maarifa, asiye na hekima kimaamuzi na kiushauri au hatabadilika kitabia baadaye.

Nina shuhuda nyingi sana za ndoa kuvunjika za hao hao tuliooa bikra.

Ke ni kiumbe kisichoeleweka ndiyomaana hata chenyewe hakijui kinataka nini.
Ogopa kiumbe kinachoona kimekosewa kuumbwa na kiko tayari kugharamika vyovyote kubadilisha viungo vya mwili wake ili kiwe kizuri.

Usihangaike kujifariji kuwa Ke hawezi kukubadilikia kisa ulimuoa bikra, uko vizuri kiuwajibikaji na kiuchumi, umesahau hata Mungu mwenyewe alidai "kamwe hatakaa ashindane na binadamu" ilihali ni yeye ndiye aliyetuumba?

Okoa maisha yako mkuu usije kufa kabla ya siku zako.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Bikra kibao hatujawaoa sababu bikra si kigezo cha mtu kutokuwa mchoyo/mbinafsi, mchafu, mvivu, mshirikina, mmbeya, asiye na maarifa, asiye na hekima kimaamuzi na kiushauri.

Nina shuhuda nyingi sana za ndoa kuvunjika za hao hao tulioliooa bikra.

Ke ni kiumbe kisichoeleweka ndiyomaana hata chenyewe hakijui kinataka nini.
Ogopa kiumbe kinachoona imekosewa kuumbwa na kiko tayari kugharamika vyovyote kubadilisha viungo vya mwili wake ili awe mzuri.

Usihangaike kujifariji kuwa Kwa hawezi kukubadilikia kisa ulimuoa bikra, uko vizuri kiuwajibikaji na kiuchumi, umesahau hata Mungu mwenyewe alidai "kamwe hatakaa ashindane na binadamu" ilihali ni yeye ndiye aliyetuumba?

Okoa maisha yako mkuu usije kufa kabla ya siku zako.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.

Yote uliyoyasema ni sawa kwa kiwango fulani.

Hata hao wasio na bikira nao ni hivyohivyo.
Kuliko mtu abetie kwa kitu kitu kilichotumika ni akheri achukue kitu kipya.

Bikira inajenga imani ndogo kwa mwanaume kwamba angalau nilimkuta mpya.
Unahakika hakuna mwanaume aliyetoka naye. Wewe ndio wakwanza.
Unahakika hakutoa mimba.

Kuhusu kubadilika kwa mtu kitabia au awe na tabia mbovu hiyo ni ishu nyingine.
Lakini kitendo cha kutomkuta bikira ni uthibitisho kwamba aliyembele yako ni mzinzi. Yaani ni ushahidi wa wazi

Mwisho, tabia zingine hasa zisizovumilika hazikulazimishi kuishi na mwanamke. Unamfukuza unatafuta bikira nyingine.

Kuoa bikira sio Guarantee lakini ni muhimu sana kwa watu wanaoelewa mahusiano na tabia za wanawake.

Elewa, mwanamke hawezi kutoa bikira yake hovyo isipokuwa kwa mtu anayempenda. Pili, hawezi kuzaa na mtu asiyempenda au asiye na maslahi naye makubwa sana. Iwe maslahi ya kimatarajio ya baadaye au kukidhi mahitaji ya kihisia
 
Vipi hawa wandengreko waliotokwa na bikra sababu ya shughuli za vijijini kama kuendesha baiskeli n.k nao wasiolewe mkuu?

Hadi sasa Me wanne tuliooa bikra kwetu tumeangukia pua kwa kila mmojawetu kulia na kusaga meno kwa wakati wake.

Bikra na ndoa ni vitu mtambuka sana, yani ndoa haijawahi kuwa na formula flani ikafiti 100%, muhimu oa Ke anayejielewa na uishi kwa hekima kujiepusha na sintofahamu.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Wanaume wengi ni washenzi, unakuta kaoa halafu anamkoromea mtoto wa watu mbaya. Wa relax tu kwani wanayoyafanya nje wake zao tunayajua, wanagongwa ile mbaya. Mbaya zaidi mtu alioa mke wa mtu mwenye mtoto/watoto, unategemea wasikutane na mzazi mwenzake huko nje kwa masuala ya watoto wao? Watakutana na kiporo kitapashwa *****. Kama umeoa fahamu daima hiyo mbunye hutatatafuna peke yako maisha yote, kuwa mpole tu udumu na huyo mke wako
 
Yote uliyoyasema ni sawa kwa kiwango fulani.

Hata hao wasio na bikira nao ni hivyohivyo.
Kuliko mtu abetie kwa kitu kitu kilichotumika ni akheri achukue kitu kipya.

Bikira inajenga imani ndogo kwa mwanaume kwamba angalau nilimkuta mpya.
Unahakika hakuna mwanaume aliyetoka naye. Wewe ndio wakwanza.
Unahakika hakutoa mimba.

Kuhusu kubadilika kwa mtu kitabia au awe na tabia mbovu hiyo ni ishu nyingine.
Lakini kitendo cha kutomkuta bikira ni uthibitisho kwamba aliyembele yako ni mzinzi. Yaani ni ushahidi wa wazi

Mwisho, tabia zingine hasa zisizovumilika hazikulazimishi kuishi na mwanamke. Unamfukuza unatafuta bikira nyingine.

Kuoa bikira sio Guarantee lakini ni muhimu sana kwa watu wanaoelewa mahusiano na tabia za wanawake.

Elewa, mwanamke hawezi kutoa bikira yake hovyo isipokuwa kwa mtu anayempenda. Pili, hawezi kuzaa na mtu asiyempenda au asiye na maslahi naye makubwa sana. Iwe maslahi ya kimatarajio ya baadaye au kukidhi mahitaji ya kihisia
Kazini kwetu kuna mwamba alioa bikra na aliishi naye kwa miaka mitano ndoa ilikuwa ndoano baada ya Ke kuonjeshwa vya nje na alikuwa anagawa kama mama huruma wale wa kanda ya kati pale mkoa X, mwamba akatema bungo.

Baada ya mwaka alioa Ke anayeuza baa, hadi sasa ni mwaka wa 15 alimzalia mapacha jinsi tofauti na akamzalia tena mtoto wa kike.

Ndoa ni very complicated mkuu.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Sie wenyewe hatupendi kula wake za watu lakini tunaparatwa ili tuingizwe kingi tuzile mbunye kimasihara, ukute una ugwiru/upwiri wa miezi mingi hujala mbunye halafu mke wa mtu anakuzengea zengea mara aombe ofa, mara akupige mzinga, mara akuombe umkopeshe hela huku unajua hatarudisha inabidi umgonge tu hakuna namna na mazingira yanaruhusu hakuna noma
 
Elewa, mwanamke hawezi kutoa bikira yake hovyo isipokuwa kwa mtu anayempenda. Pili, hawezi kuzaa na mtu asiyempenda au asiye na maslahi naye makubwa sana. Iwe maslahi ya kimatarajio ya baadaye au kukidhi mahitaji ya kihisia
We jamaa unajichanganya, hata Malaya Anafanya mapenzi Kwa maslahi au ya uchumi au mengine lakini maslahi
 
Kazi sana haya maisha
Ndo maana Saizi mimi sijali, kabisa.

I don't cling to a pussy. Kama akinicheat ndo kwa heri hiyo.. Sitaki kuishi maisha yangu kwa dhiki kabisa.

Tuendelee kula makapi tu, ndo dunia ulivyo kwa sasa. Hawa wanawake nao wanaona ni fashion kuzagamukiwa na wanaume wengi, kitu ambacho nikikifikiria kinatia kinyaa kabisa
 
Wanaume wengi ni washenzi, unakuta kaoa halafu anamkoromea mtoto wa watu mbaya. Wa relax tu kwani wanayoyafanya nje wake zao tunayajua, wanagongwa ile mbaya. Mbaya zaidi mtu alioa mke wa mtu mwenye mtoto/watoto, unategemea wasikutane na mzazi mwenzake huko nje kwa masuala ya watoto wao? Watakutana na kiporo kitapashwa *****. Kama umeoa fahamu daima hiyo mbunye hutatatafuna peke yako maisha yote, kuwa mpole tu udumu na huyo mke wako
Kuna scenario jamaa kafumaniwa kaachiwa mke awe wake hamtaki, sasa wazee hawamuelewi, wanamuuliza wewe unataka nini? Mwanamke mchukue sasa msifanye siri tena, Jamaa linaomba msamaha tu hataki kukabidhiwa mwanamke.

Ukweli ni kwamba nyinyi wapenda miteremko na wake za watu halafu mkaruhusu emotion attachments ndo huwa mnaweweseka, Mwenye mke akishakaza huko mke akaamua asitoe minyege ikawapanda kichwani ndo milio kama hivi, mwenye mke akiamua hamtaki tena umchukue awe wako milio sababu its not about huyo mwanamke, its about mneng'uo wa ubongo kuwa ni mke wa mtu. Hahaha, vya bure vina gharama sana.
 
Vipi hawa wandengreko waliotokwa na bikra sababu ya shughuli za vijijini kama kuendesha baiskeli n.k nao wasipewe mkuu?

Hadi sasa Me wanne tuliooa bikra kwetu tumeangukia pia kwa kila mmojawetu kulia na kusaga meno kwa wakati wake.

Bikra na ndoa ni vitu mtambuka sana, yani ndoa haijawahi juwa na formula flani ikafiti 100%, muhimu oa Ke anayejielewa na uishi kwa hekima kujiepusha na sintofahamu.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Me mwenyewe nimeoa kurumbembe sijui limetumika na idadi ya wanaume wangapi uko,ila kuoa bikra ni ndoto ya kila mwanaume.
Shida ya mwanamke aliyetumika ana chance kubwa ya kulombwa uko kuliko bikra.
95% ndoa za bikra zimetulia hakuna migogoro ya uzinifu ila 90% ya ndoa za wanawake waliotumika uko nje migogoro ni mingi sana.
 
Back
Top Bottom