Joseph kimlio
JF-Expert Member
- May 18, 2026
- 745
- 1,329
Waliowakuta wake zao na bikira ndio waliooa wake zao, mbali na hapo ni wake za watu.Wanaume mpini wa bua Habari zenu asbh hii!!
Jtatu nyingine wapendwa wenu wameenda kuambatana na waume zao maofisini(kazini)
Leo watatoana Lunch kama kawaida na mambo kadhaa wa kadhaa watafanya juma Zima hili.
NAJUA HAYANIHUSU LAKINI SHARTI NIWAAMBIE.
Umeoa mke wa mtu pengine hata anawatoto wawili ama mmoja halafu unaleta jazba na masharti kibao kama waganga wa sumbawanga Relax bro.
Huyo mke wako pengine unatoka kazini unamkuta kanuna bila sababu badala uulize Kwa upole pasina hasira unaanza kubweka hujui kwamba huenda kazinguana na mzazi mwenzie?
Mtu kanuna Hana Raha Wala furaha na hujakosea kosa lolote lile Bado unaanza kumuuliza mamaP nimekosea nini mke wangu? Hivi uko serious bro?
Wewe ulijua na unajua huyo Si wako peke yako kwanini usimpe lkizo nzuri isyo na kikomo akaonane na mzàzi mwenzake?😹😹
Muda mwingine ndoa zenu zinashikiliwa na wazazi wenza wa wake zenu muda wowote akimuhitaji hakuna kitu utafanya.
Kwa heri ya kuonana hapo badae.