takadini24
New Member
- Aug 31, 2026
- 2
- 0
Kasheshe
ndio maana migogoro ya ndoa haishi kumbe watu wanaoa wake za watu!Waliowakuta wake zao na bikira ndio waliooa wake zao, mbali na hapo ni wake za watu.
Awali ni awali tu, jitahidi utafute chombo kipya hakina services za mara kwa maraHao mabikira mnaowasifia ni wake wema mbona wakionja mbung'o nje hugeuka mashetani? Tena huona walichelewa sana kugundua dunia mpya, watakuwa limbukeni kugawa hovyo hovyo baada ya kuonja mpiko nje
Bikira hazitolewi na baiskeli au shughuli amka usingizini, bikira inatolewa na penetration ya uume kunako K na hilo jambo kwa Mwanamke lina maana sana kuliko kwa mwanaume mwenyewe ni vile tu, hatutak kuukubali ukweli na kwa sababu bikira zenyewe hazipo siku hizi, lazima tukubali ukweli huu ndoa nyingi zinavunjika ni kwa sababu ya kuoa wanawake wa watu kama anavyosema mtoa mada, maana hana cha kupoteza,Vipi hawa wandengreko waliotokwa na bikra sababu ya shughuli za vijijini kama kuendesha baiskeli n.k nao wasiolewe mkuu?
Hadi sasa Me wanne tuliooa bikra kwetu tumeangukia pua kwa kila mmojawetu kulia na kusaga meno kwa wakati wake.
Bikra na ndoa ni vitu mtambuka sana, yani ndoa haijawahi kuwa na formula flani ikafiti 100%, muhimu oa Ke anayejielewa na uishi kwa hekima kujiepusha na sintofahamu.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
wakati makamu wa rais ametekwa wewe unawaza mambo ya kimbugira, nyie watu mpoje ?Wanaume mpini wa bua Habari zenu asbh hii!!
Jtatu nyingine wapendwa wenu wameenda kuambatana na waume zao maofisini(kazini)
Leo watatoana Lunch kama kawaida na mambo kadhaa wa kadhaa watafanya juma Zima hili.
NAJUA HAYANIHUSU LAKINI SHARTI NIWAAMBIE.
Umeoa mke wa mtu pengine hata anawatoto wawili ama mmoja halafu unaleta jazba na masharti kibao kama waganga wa sumbawanga Relax bro.
Huyo mke wako pengine unatoka kazini unamkuta kanuna bila sababu badala uulize Kwa upole pasina hasira unaanza kubweka hujui kwamba huenda kazinguana na mzazi mwenzie?
Mtu kanuna Hana Raha Wala furaha na hujakosea kosa lolote lile Bado unaanza kumuuliza mamaP nimekosea nini mke wangu? Hivi uko serious bro?
Wewe ulijua na unajua huyo Si wako peke yako kwanini usimpe lkizo nzuri isyo na kikomo akaonane na mzàzi mwenzake?😹😹
Muda mwingine ndoa zenu zinashikiliwa na wazazi wenza wa wake zenu muda wowote akimuhitaji hakuna kitu utafanya.
Kwa heri ya kuonana hapo badae.
Endelea kujifariji na story za kutunga, msichana bikra ni alama ya usafi, labda jamaa tu aje amzingue baadae, huwezi kufananisha vitu vya ovyo na msichana uliyemkuta bikra
Ke akitaka kuvunja ndoa anavunja tu huwezi kumzuia kisa ulimtoa bikra, amevunja ndoa Mke wa tajiri no 1 duniani 2019/2020 Jeff Bezzos baada ya kuzaa watoto wanne na kudumu katika ndoa miaka 32 sembuse hawa Ke wa kiafrika?Bikira hazitolewi na baiskeli au shughuli amka usingizini, bikira inatolewa na penetration ya uume kunako K na hilo jambo kwa Mwanamke lina maana sana kuliko kwa mwanaume mwenyewe ni vile tu, hatutak kuukubali ukweli na kwa sababu bikira zenyewe hazipo siku hizi, lazima tukubali ukweli huu ndoa nyingi zinavunjika ni kwa sababu ya kuoa wanawake wa watu kama anavyosema mtoa mada, maana hana cha kupoteza,
Ukienda kumtafuta wewe na wenzako inatosha.wakati makamu wa rais ametekwa wewe unawaza mambo ya kimbugira, nyie watu mpoje ?
Haya maneno huwa wanajifariji nayo wale waliooa ma single motherKe akitaka kuvunja ndoa anavunja tu huwezi kumzuia kisa ulimtoa bikra, amevunja ndoa Mke wa tajiri no 1 duniani 2019/2020 Jeff Bezzos baada ya kuzaa watoto wanne na kudumu katika ndoa miaka 32 sembuse hawa Ke wa kiafrika?
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Mwanamke usiyemtoa bikra si mke wako.Wanaume mpini wa bua Habari zenu asbh hii!!
Jtatu nyingine wapendwa wenu wameenda kuambatana na waume zao maofisini(kazini)
Leo watatoana Lunch kama kawaida na mambo kadhaa wa kadhaa watafanya juma Zima hili.
NAJUA HAYANIHUSU LAKINI SHARTI NIWAAMBIE.
Umeoa mke wa mtu pengine hata anawatoto wawili ama mmoja halafu unaleta jazba na masharti kibao kama waganga wa sumbawanga Relax bro.
Huyo mke wako pengine unatoka kazini unamkuta kanuna bila sababu badala uulize Kwa upole pasina hasira unaanza kubweka hujui kwamba huenda kazinguana na mzazi mwenzie?
Mtu kanuna Hana Raha Wala furaha na hujakosea kosa lolote lile Bado unaanza kumuuliza mamaP nimekosea nini mke wangu? Hivi uko serious bro?
Wewe ulijua na unajua huyo Si wako peke yako kwanini usimpe lkizo nzuri isyo na kikomo akaonane na mzàzi mwenzake?😹😹
Muda mwingine ndoa zenu zinashikiliwa na wazazi wenza wa wake zenu muda wowote akimuhitaji hakuna kitu utafanya.
Kwa heri ya kuonana hapo badae.
Huyo anakuwa ni mke wenu sio wakoMwanamke usiyemtoa bikra si mke wako.
Endelea kukaza fuvu kujiona much know kwa kiumbe kisichoeleweka ili siku ujinyonge, uue na kuua baada ya kupigwa na kitu kizito kwa Ke unayemuamini 100% maana kenge hasikii hadi atokwe damu.Haya maneno huwa wanajifariji nayo wale waliooa ma single mother
Naona unatumia nguvu kubwa hakuna aliyebisha kuwa mwanamke uliyemkuta bikra hawezi kukusalti lakini kasi ya kuchapiwa na ma ex inapungua pia ubikra ni hali ya usafi, kujilinda na kujitunza kama hutoelewa endelea kupambana na ma single mother yako adi yakukute.Endelea kukaza fuvu kujiona much know kwa kiumbe kisichoeleweka ili siku ujinyonge, uue na kuua baada ya kupigwa na kitu kizito kwa Ke unayemuamini 100% maana kenge hasikii hadi atokwe damu.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.