Unajua Umeoa Mke wa mtu, punguza jazba na Relax

Unakuta mwanaume ana wivu wa kimapenzi kishenzi mpaka anaua mke wake au mwanaume mwenzake. Ukioa jua kuwa huyo demu alikuwa analiwa na watu wengine kaja kwako kwa maslahi yake kwa kuwa una mpunga ila hataacha kuliwa na masela wake wa nje. Usilete ushamba wako kwenye mambo ya kimahusiano ya kindoa we uliyeoa. Wake zenu wanagongwa vizuri tu, wawe mama wa nyumbani au wawe wafanyakazi/wafanyabiashara, sisi ndio tunaojua mambo hayo yapo
 
Ni hasira ambayo imechanganyika na wivu ndio mtoa mada anazo.

Sijui wanawake mnawaonaje?.
Kwamba watalombwa na kila mtu anayeongea nae? Au anayekutana nae mara kwa mara?.

Ukiwa na mentality ya namna hii utaishi kwa tabu sana.
Pole sana. Hata tunazungumzia kuoa mke wa mtu.
Umeoa single mother au Hana bikira wewe umeo mke wa mtu Relax
 
"Ke yeyote ni wako ukiwa naye kitandani, ukishamalizana naye hapo si wako".
Utaishi maisha yenye amani na furaha tele kuliko kujimilikisha kitu cha kiumbe kisichotabirika.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 

Hakuna watu wanaoenjoi ndoa na mahusiano zaidi ya wale waliooa wanawake bikira.
Hao mmoja kati ya Mia haitaondoa ukweli huo
 
Mtu anayetamba mke wake haliwi/haliki labda huyo mke ni zezeta, mburula, ana mtindio wa ubongo/usonji. Hata hivyo kwenye hili kundi la walemavu wa akili wapo ambao wana ufahamu ni fresh mental watu wanapita nao bila kujali hali zao, tena wamezaa watoto. Uwe mpole tu usiwe na wivu wa kimapenzi mke wako atapitiwa tu hata kwa kutongonzwa na njemba zingine usiseme umeoa mke mbaya asiyetamanika kwa hiyo hatatongozwa, kuna anayemtamani atampataje
 
Tafiti hizi umezifanyia wapi mkuu?
Kuna ke mmoja aliwahi kutaka talaka ilihali aliolewa na Me akiwa bikra na alishazalishwa watoto wanne akidai aliwahishwa kuwa mama wa familia, kashaonja M.B.O za nnje na anataka awe huru kuendelea kupelekewa moto.

Narudia tena, ndoa hazina formula maalum, Ke alidai anahudimiwa kila kitu na Me lakini ana maamuzi yake binafsi kutaka talaka, utafanyaje hapo mkuu?

Ubinadamu ni kazi/ the humanity is work.
 
Mwanaume unakuwa mshambamshamba wa ndoa hujui kuwa mkeo anaweza kuliwa hata na kaka yako/mdogo wako na ikawa siri, rafiki yako anaweza kumla kimasihara bila kumtaka au kumtaka watakapoparatana. Fahamuni tabia za wanawake wa ndoani enyi mliooa msije mkaua kwa wivi wa kimapenzi na kuvunja ndoa zenu kizembe
 
Maelezo ni marefu mkuu.

Lakini kwako Bora kipi ukiambiwa uchague kati ya gari mpya zero kilometer na gari ileile company ile na kiwanda kile kilichotengeneza ile mpya zero kilometer je utachagua used Kwa vile tu hapa ile mpya itaharibika,itaisha tyle itapelekwa garage vilevile sawa na mpya?

Kwako kipi Cha kuchagua kati ya jezi mpya ya Arsenal na jezi ile ile ya Arsenal ikiwa mtumba ? Utachagua ipi?

Kwamba uchague tu mtumba maana hata mpya itachafuka utaifua sawa sawa na mtumba?
 
usiwasifu bikra wewe huwajui vema. Hawa ukioa watatulia kwa muda ndoani, siku wakionja mpiko nje hakuna rangi utaacha kuona we baba, maji utayaita ma
 
Kwanini mnatumia nguvu kubwa sana kupambania kilicho kizuri? Si muache kijipambanie chenyewe mkuu?

Mna tofauti gani na Atheists wanaoteseka kila siku kuhangaika na wenye imani zao ilihali hawakushikiwa bunduki kutoamini uwepo wa Mungu?

Ishi maisha yako tu wala usijipe umuhimu katika maisha ya watu wengine.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Hakuna watu wanaoenjoi ndoa na mahusiano zaidi ya wale waliooa wanawake bikira.
Hao mmoja kati ya Mia haitaondoa ukweli huo
Wewe wasema ilihali mitaani tunashuhudia jinsi ndoa zilivyo na maajabu yake, labda unaishi kwenye sayari yako mkuu 😆

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Unakuta mwanaume mshenzi anavunja simu ya mke wake kisa kasoma meseji fulani bila kujali kama imeingia kwa kukosea, wanaume tukubaliane tusipende kufuatilia simu za wake zetu, tu relax tu, wapo jamaa zetu nao wanawala pia, tena wanawanunulia mpaka chupi, vocha na vitu vingine. We kama mkeo mko naye unaishi naye shukuru kwa hilo
 
Sema we mbwa usemacho kama kina ukweli hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…