Unajua Umeoa Mke wa mtu, punguza jazba na Relax

Waliowakuta wake zao na bikira ndio waliooa wake zao, mbali na hapo ni wake za watu.
 
Vipi hao waume za watu ambao hawatulizi mkuyenge na kuhangaikia wake za watu tuwaweke kundi gani??
 
Umeoa malaya unatombewa kila siku mpaka umekata tamaa ya maisha.pole sana bwana SIMP
 
Umeoa malaya unatombewa kila siku mpaka umekata tamaa ya maisha.pole sana bwana SIMP
mbona kama unanitaja aisee? Ukweli ni kwamba wake zenu wanalika sawa tu na malaya wengine. Usijifanye mkeo haliwi, analiwa vizuri tu ila we boya hujui
 
mbona kama unanitaja aisee? Ukweli ni kwamba wake zenu wanalika sawa tu na malaya wengine. Usijifanye mkeo haliwi, analiwa vizuri tu ila we boya hujui
wewe kama unatombewa ni wewe,ni mwanaume mpumbavu na dhaifu kama wewe ambaye unajua kuwa atombewa na bado unaendelea kuishi nae..
 
wewe kama unatombewa ni wewe,ni mwanaume mpumbavu na dhaifu kama wewe ambaye unajua kuwa atombewa na bado unaendelea kuishi nae..
sie wenyewe tunawalabua wake za watu, tena bila kutongoza, wao wenyewe ndio wanajitongozesha kwetu, unataka tuwaache bila kuwaonjea mpiko?
 
Unakuta mtu kaoa mke wake yuko kama taahira anamuendesha mke wake atakavyo, mke yupo putuputu hana mvuto wa kimahaba, anajilia peke yake anakuja hapa kubisha kuwa ana mke mwema asiyechakatwa nje
 
Endelea kujifariji na story za kutunga, msichana bikra ni alama ya usafi, labda jamaa tu aje amzingue baadae, huwezi kufananisha vitu vya ovyo na msichana uliyemkuta bikra
 
mbona kama unanitaja aisee? Ukweli ni kwamba wake zenu wanalika sawa tu na malaya wengine. Usijifanye mkeo haliwi, analiwa vizuri tu ila we boya hujui
Atalika sana ikiwa ulioa mke wa watu, tafuta bikra uhepukane na hizi ngonjera, ukioa malaya atagonjwa tu hata na vichaa.
 
Kuna comment unasoma hadi unasikia kutapika.

You are an ex for a reason.

Know your place. Kaa humo.

Acheni viherehere na visebengo mnatia na kinyaa.

Hii confidence ya kufikiri you can just get back with your ex ukijisikia mnaitoa wapi? ? Kwa lipi?

Who the heck do you think you are? ? ?

Some of you are a reminder of great filth that we had the misfortune of coming across!

You are the chapters of our lives we could gladly erase.

You are great blunders we committed.

We could gladly trade the memories we have of you with the peace we had before you intefered our lives.

MKOME!

Hatuwataki! Hatuwahitaji!


Hamna umuhimu huo mnaojipa hapa!

Ukiwa ex kuwa ex.

Hovyo kabisa!
 
Na namba zetu mfute. Hizi salamu zenu utafkiri kuna kifurushi cha salamu za msimu tulilipia hatutaki!
 
bikra wenyewe hugeuka na kuwa malaya kama hujui hilo
Mwanamke aliyeolewa bikra akageuka kuwa malaya hili jambo ni nadra sana labda kama manyamwezi alimtelekeza akiwa na watoto zaidi ya watatu, anaweza kugeuka malaya ili atunze watoto wake.
 
Ni hasira ambayo imechanganyika na wivu ndio mtoa mada anazo.

Sijui wanawake mnawaonaje?.
Kwamba watalombwa na kila mtu anayeongea nae? Au anayekutana nae mara kwa mara?.

Ukiwa na mentality ya namna hii utaishi kwa tabu sana.
Soma jina lake ndiyo utajua kwamba hadi hata maiti yake itakuwa na wivu kwa mkewe.Akifa mkewe hataki alombeke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…