Unajua Umeoa Mke wa mtu, punguza jazba na Relax

Hao mabikira mnaowasifia ni wake wema mbona wakionja mbung'o nje hugeuka mashetani? Tena huona walichelewa sana kugundua dunia mpya, watakuwa limbukeni kugawa hovyo hovyo baada ya kuonja mpiko nje
 
Hao mabikira mnaowasifia ni wake wema mbona wakionja mbung'o nje hugeuka mashetani? Tena huona walichelewa sana kugundua dunia mpya, watakuwa limbukeni kugawa hovyo hovyo baada ya kuonja mpiko nje
Awali ni awali tu, jitahidi utafute chombo kipya hakina services za mara kwa mara
 
Bikira hazitolewi na baiskeli au shughuli amka usingizini, bikira inatolewa na penetration ya uume kunako K na hilo jambo kwa Mwanamke lina maana sana kuliko kwa mwanaume mwenyewe ni vile tu, hatutak kuukubali ukweli na kwa sababu bikira zenyewe hazipo siku hizi, lazima tukubali ukweli huu ndoa nyingi zinavunjika ni kwa sababu ya kuoa wanawake wa watu kama anavyosema mtoa mada, maana hana cha kupoteza,
 
wakati makamu wa rais ametekwa wewe unawaza mambo ya kimbugira, nyie watu mpoje ?
 
Endelea kujifariji na story za kutunga, msichana bikra ni alama ya usafi, labda jamaa tu aje amzingue baadae, huwezi kufananisha vitu vya ovyo na msichana uliyemkuta bikra

Ke akitaka kuvunja ndoa anavunja tu huwezi kumzuia kisa ulimtoa bikra, amevunja ndoa Mke wa tajiri no 1 duniani 2019/2020 Jeff Bezzos baada ya kuzaa watoto wanne na kudumu katika ndoa miaka 32 sembuse hawa Ke wa kiafrika?

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Haya maneno huwa wanajifariji nayo wale waliooa ma single mother
 
Mwanamke usiyemtoa bikra si mke wako.
 
Haya maneno huwa wanajifariji nayo wale waliooa ma single mother
Endelea kukaza fuvu kujiona much know kwa kiumbe kisichoeleweka ili siku ujinyonge, uue na kuua baada ya kupigwa na kitu kizito kwa Ke unayemuamini 100% maana kenge hasikii hadi atokwe damu.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Endelea kukaza fuvu kujiona much know kwa kiumbe kisichoeleweka ili siku ujinyonge, uue na kuua baada ya kupigwa na kitu kizito kwa Ke unayemuamini 100% maana kenge hasikii hadi atokwe damu.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Naona unatumia nguvu kubwa hakuna aliyebisha kuwa mwanamke uliyemkuta bikra hawezi kukusalti lakini kasi ya kuchapiwa na ma ex inapungua pia ubikra ni hali ya usafi, kujilinda na kujitunza kama hutoelewa endelea kupambana na ma single mother yako adi yakukute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…