Ogopa sana mtu anayesimama na ukweli tena kwa ajili ya watu wake Mungu humpenda na Kumlinda
Tundu Lissu anapigania haki juu ya Watanzania wote,anataka tuwapate Viongozi wa kweli watakaopatikana kwa kura za wananchi ambao watalinda rasilimali zetu siyo hawa wanaopita kwa rushwa na vimemo amabo wanaenda kuwatumikia mabwana zao waliowapendekeza wawe viongozi,nazani tumeona jinsi mahakama jeshi la polisi linavyofanya kazi,ni dhahiri wanafanya kwa maelekezo ya watu au mtu siyo kwa weledi wao,
Sasa jiulize huyu mtu ndiye anayestahiri kunyongwa? Basi amini kuna watu wanaopanga mipango miovu ya kumyonga watakufa wao kwa mkono wa Mungu kama yalivyowakuta wale wa kabla yao waliopanga kumuuwa kwa risasi,hebu wahusika acheni kukaza shingo tendeni haki au mnataka tuwataje kwa majina wale wote walioshiriki kumwandalia mauti binadamu mwenzao akiwa hai na leo hii wako makaburini? Amini msipobadilika mtanyakuliwa mmoja baada ya mwingine na sisi tutabaki kama mashahidi na kusema unaona mkono wq Mungu unavyojua kulipa kisasi dhidi ya haki