Unajuaje dhehebu, dini au imani uliyopo si ya kitapeli (cult)?

Unajuaje dhehebu, dini au imani uliyopo si ya kitapeli (cult)?

wew na mkuu Fake P mmenikumbusha miaka flani uko nyuma kuna watu fulani wawili, mtu mke na mtu mume walianza kusalimiana kiuchokozi ivi ivi kama mlivoanza nyinyi apa. bdae kidogo nikaona wote wanachekacheka😇sijakaa sawa wamepotea, siwaoni😳mara nasikia kitanda kinapiga kelele (ni vile vitanda vya zamani vya chuma na springi katikati) uko ndani, mm khee!🤯nkajua tyr kimeumana🤣
Ngoja nikatafutie Salam ya kiuchokozi ilivyoanza. Anyway unausingizi wew
 
1. Ni viongozi wa hiyo dini/madhehebu kukuaminisha nyie tu ndio mpo sahihi na mnatambulika na Mungu na wengine wote wamepotea.
 
Vyote sio sawa ndio maana mpaka leo tunaonekana watumwa tu.
Sasa mbona wote tunatumia na kufanya hivyo vitu ila dini tu ndio tunasikia ikisemwa ni ya kuletewa?

Hakuna anayetuona watumwa ni fikra zetu tu ambazo bado hadi tunawaza utumwa kana kwamba ni sisi tu waafrika ndio tulifanywa watumwa. Nashangaa mtu anapinga dini kwa hoja et ni imani za kuletewa, dini zimetapakaa duniani kote huko ila husikii wenzetu huko jamii zengine wakisema ni dini za kulerewa mara sijui dini zimetufanya tusiwe na maendeleo ni sisi tu waafrika ndio tuna mtazamo huo.
 
Korea ya kaskazini wanapinga vikali ,Iran, China na Burma pia wanapinga vikali.
 
Una uhakika kinachofanya wapinge ni kwa sababu ni dini za kuletewa ?
Kinachopingwa ni dini za kuletwa na sio kinachofanya wapinge ni dini za kuletwa 🤔🤔zipo sababu mbalimbali zinazowafanya wapinge dini hizo zakuletwa.
 
Back
Top Bottom