Unajuaje dhehebu, dini au imani uliyopo si ya kitapeli (cult)?

Ngoja nikatafutie Salam ya kiuchokozi ilivyoanza. Anyway unausingizi wew
 
1. Ni viongozi wa hiyo dini/madhehebu kukuaminisha nyie tu ndio mpo sahihi na mnatambulika na Mungu na wengine wote wamepotea.
 
Mm nisie na Iman yyt ngoja nisicoment chcht maana cjaulizwaa swali mm...

Tunanawakaribisha wenye Iman zenu mtupe mawazo
Mh...asiye na imani yeyote labda mtoto mchanga.
 
Bora hata hizo, malighafi zake tunaweza kutamba zilitoka kwetu🤔
Kwahiyo wale ambao wanaletewa hivyo vifaa na hizo malighafi hazitoki kwao wanatakiwa kukataa hivyo vifaa vya kuletewa?
 
Vyote sio sawa ndio maana mpaka leo tunaonekana watumwa tu.
Sasa mbona wote tunatumia na kufanya hivyo vitu ila dini tu ndio tunasikia ikisemwa ni ya kuletewa?

Hakuna anayetuona watumwa ni fikra zetu tu ambazo bado hadi tunawaza utumwa kana kwamba ni sisi tu waafrika ndio tulifanywa watumwa. Nashangaa mtu anapinga dini kwa hoja et ni imani za kuletewa, dini zimetapakaa duniani kote huko ila husikii wenzetu huko jamii zengine wakisema ni dini za kulerewa mara sijui dini zimetufanya tusiwe na maendeleo ni sisi tu waafrika ndio tuna mtazamo huo.
 
Korea ya kaskazini wanapinga vikali ,Iran, China na Burma pia wanapinga vikali.
 
Una uhakika kinachofanya wapinge ni kwa sababu ni dini za kuletewa ?
Kinachopingwa ni dini za kuletwa na sio kinachofanya wapinge ni dini za kuletwa 🤔🤔zipo sababu mbalimbali zinazowafanya wapinge dini hizo zakuletwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…