Unajuaje dhehebu, dini au imani uliyopo si ya kitapeli (cult)?

Dini zote ni usanii, hizo references zote ulizoziambatanisha zimekuwa crafted na wasanii wabobezi wa enzi hizo. Imani hizo za vitu/mambo ya kubuni na kwa watu wenye upeo mdogo wa ku-analyze mambo.
Brainwashing at it's highest level.
 
Rabbon
rabbo
Rabbon
Rabbon
 
Kinachopingwa ni dini za kuletwa na sio kinachofanya wapinge ni dini za kuletwa 🤔🤔zipo sababu mbalimbali zinazowafanya wapinge dini hizo zakuletwa.
Umeleta mfano usio sahihi, hizo nchi wana sababu zao zenye kuwafanya kupinga hizo dini katika nchi zao ila sio kwa hoja ya kwamba ni dini za kuletewa kama hoja tunayojadili hapa.
 
Post no 14 imefafafanua vyema,

1. Ukiona muhubiri hakemei dhambi, mavazi ya nusu uchi kuvaliwa Kanisani kimbia.

2. Ukiona Kila Ibada wanahubiri mafanikio Badala ya TOBA kimbia.

3. Ukiona uzinzi unatajwatajwa Kwa kiongozi mkuu na waumini na dhambi hiyo imezieleka, kimbia.

4. Ukiona muhubiri hawaiti watu kuokoka, kutubu dhambi, kimbia hapo.

5. Ukiona wanapinga Roho ya unabii na kunena Kwa lugha, kimbia.

Nk nk.
 
Dini zote ni usanii, hizo references zote ulizoziambatanisha zimekuwa crafted na wasanii wabobezi wa enzi hizo. Imani hizo za vitu/mambo ya kubuni na kwa watu wenye upeo mdogo wa ku-analyze mambo.
Brainwashing at it's highest level
Mmekuwa brainwashed, hizi references zako kwa ustadi mkubwa zilikuwa crafted na wasanii kwa malengo maalum ndiyo maana some areas kulitumika Jihad au Crusade kulazimisha watu kwenye hizo imani za kubuni.
 
Wee toa sadaka
Zaka
Shukran
Ujenzi
Nk hayo ya utapeki achia na Mungu waooo usijipige kitanzi utoisadaka kisa utapeli

Ukiwa na Roho mtakatifu ndani yako maisha ni tofauti,atakuongoza maamuzi yote yanayohusu utoaji.Kuna eneo lingine atakwambia kabisa mimi simo kwenye hilo linalosemwa,hilo ni la mchungaji mwenyewe
 
kama ni hivyo, hata wewe ni msanii, tena msanii mno.
 
Dini na imani zote ni UTAPELI.

Mungu hayupo.

Dini ni kikundi cha Matapeli wanao tapeli Wajinga.
 
Na wale wanaoambiwa watoe fungu la kumi ya kipato chao eti Mungu ndio anataka. Tokea lini Mungu ana shida na pesa?
kiongozi unataka familia ya pasta ife njaa au? tukumbuke pasta nae ana watoto wajameni ebhoo
 
Mbona rahisi sana kujua ukiona wachungaji wako hawamjui Mungu wa kweli ujue umeingizwa Chaka

Mchungaji A Yesu Mungu
Mchungaji B Yesu sio Mungu
Mchungaji C Mungu wapo 3
Mchungaji D Mungu sio 3
Mchungaji E Yesu mtoto wa Mungu
Mchungaji F Yesu sio mtoto wa Maria
Mchungaji G Yesu ametumwa na Mungu
 
kiongozi unataka familia ya pasta ife njaa au? tukumbuke pasta nae ana watoto wajameni ebhoo
Kanisa lina miradi mbalimbali inasimamiwa na kanisa. Wanapata sadaka kila jpili. Alafu kama hailipi si wafanye kazi zingine??
 
Pia hata nikifuata haya uliyoeleza pia hamna tofauti na hao, Dini Zina vitabu vyake na yaliyo ndani yake hivyo vitabu ndo nafuata si mtu yeyote, Dini ni maelekezo na mafundisho yaliyo ndani ya vitabu vya Allah. Hivyo mtu wa dini hufuata yaliyo ndani yake Tena kwa kusoma mwenyewe na kuelewa.
 
Inayoenda kinyume na mfundisho ya Yesu. Wanaosaka pesa zaidi kuliko ufalme wa Mungu.
 
Kwasababu kwenye imani yangu hawapo kina mwamposa, wala nabii mkuu feki Geor Devie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…