Unajuaje dhehebu, dini au imani uliyopo si ya kitapeli (cult)?

Umeleta mfano usio sahihi, hizo nchi wana sababu zao zenye kuwafanya kupinga hizo dini katika nchi zao ila sio kwa hoja ya kwamba ni dini za kuletewa kama hoja tunayojadili hapa.
Sijui kama umesoma vizuri nilicho andika🤔
 
Na wale wanaoambiwa watoe fungu la kumi ya kipato chao eti Mungu ndio anataka. Tokea lini Mungu ana shida na pesa?
mkuu mbona fungu la kumi halijawahi kupingwa ni kama sungura tu, hapingwi uyo. hilo lipo kwenye maandiko kabisa
 
Madhehebu mengi ni cults hasa haya makanisa yanayomilikiwa na mtume au nabii flani kama mali binafsi.
 
Hamna kitu hapo. Bado sijaona.
 
Um Naam, umetoa darasa Safi la KWELI halisi .
 
Mwamposa.
 
Very true.
 
Bado huwa mnajadili madhehebu badala ya kujadili Wokovu au Uhusiano wa Mtu na Mungu?

Madhehebu ni kama vyama vya siasa tu

Whats matter is your relationship with God
 
Ukikuta dhehebu wapo busy na kuonesha miujiza, na kukusanya michango/sadaka badala ya kufundisha watu wamuabudu Mungu na waachane na matendo mabaya yatakayo wapela kwenye Moto wa milele
Kama; kujilimbikizia mali sizizo kuwa halali, kutumia Uchawi kuumiza wengine, wizi, kupunja kwenye mizani, kupindisha sheria na kuwanyima watu haki, kula mali za watoto waliofiwa na mzazi/wazazi wao nk nk
Jua hapo umepigwa!
 
kwa zarau maandiko matakatifu unayoyaamini unayaita vitabu siyo? Kwa hyo wewe dogo ukisomewa tu na mchungaji kutoka kwenye hivyo vitabu unaamini? Nyie ndo mnaambiwa mfunge siku saba mfululizo kama alivyofanya yesu na mnakubali. Kheri kifo kuliko ujinga na upumbavu.
 

Hiyo #4. Kwa hiyo unataka uishi na kila mipaka. Mbona wewe mwenyewe siyo rafiki wa kila mtu. Kuna wengine unawakwepa. Hata mkeo (kama umeoa) hutamruhusu awe rafiki wa mtu unayemtilia mashaka tabia zake. Kwa watoto ni hivyo hivyo. Sasa kwa nini nabii (Tito) wako asikuwekee mipaka ili kukulinda?
😛
 
Siyo nikisomewa nasoma mwenyewe.
 
mkuu toka lini imekuwa ni kosa kujipangia mambo yako mwenyewe? haujui km wew na mkeo ni wamoja na ivyo basi kumpangia mkeo ni kujipangia mwenyewe?.
 
mkuu toka lini imekuwa ni kosa kujipangia mambo yako mwenyewe? haujui km wew na mkeo ni wamoja na ivyo basi kumpangia mkeo ni kujipangia mwenyewe?.

Mkuu wangu. Kuna kipindi niliwahi mpangia anyoe nywele ili tupunguze matumizi ya kwenda salon. Nilinuniwa siku tatu na kunyimwa juu
 
Mkuu wangu. Kuna kipindi niliwahi mpangia anyoe nywele ili tupunguze matumizi ya kwenda salon. Nilinuniwa siku tatu na kunyimwa juu
kiongoz hebu tusaidie apa

👉wew umekuta mrembo ana bambucha lake kichwani, ukampenda ivoivo alivyo na bambucha lake.

👉mkaanza kuchekeana, mwenzio uku anang'atang'ata kucha na bambucha lake kichwani.

👉mkakaa uchumba, mwenzio ana bambucha lake kichwani.

👉anakupikia misosi hii ya kawaida na ile mingine isiyoweza kuandikika apa, akiwa na bambucha lake kichwani, wew unang'ata misosi yote miwili uku unakenua meno na kuchekelea tu.

👉mnakubaliana umpeleke kwenu, mwenzio ana bambucha lake kichwani

👉mnaanza kuishi pamoja km mke na mme, mwenzio yupo na bambucha lake kichwani.

👉miezi sita bdae unamwambia ashushe bambucha! upo siriaz kiongozi?
 

Sasa si baada ya kipindi hiki cha kuwa naye nimeona hiyo siyo dili tena!!
 
sifa zingine za dini au imani za kitapeli ni hizi hapa
â– kuingia ni rahisi sana ila kutoka ni ngumu au haiwezekani kabisa
â– ni marufuku kukosoa uongozi yani hairuhusiwi kukosoa
â– waumini kupewa vitisho vya kuwafanya waishi kwa hofu, wasiwasi muda wote
â– viongozi kuwatisha waumini hasa wa kike na hatimae kutoka nao kimapenzi
â– mafundisho makuu ni juu ya pesa pesa pesa na kuongeza vitegauchumi
â– kuuana na ishu za kurogana ni kitu cha kawaida sana hasa ukionekana umeshajitambua na sasa unataka kutoka
â– wanajenga imani kwa waumini wao kuwa imani hiyo tu ndiyo sahihi dunia nzima na nyingine zote ni batili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…