Unakabiliana vipi na waumini wanaolazimisha salamu za kiimani bila kujuwa imani ya mtu mwingine

Maana ya asalam aleykum (kama sijakosea). Ni nini??
Alafu kingine atajuaje kama huyu ni muislamu au sio?
Weka vifungu vinavyokataza
Asalam Alaykum warhamtullah wabarakatuh.
Maana yake ni "Amani iwe juu yako na rehema za Mungu na baraka zake".

Haifai kumuombea rehema mtu asie amini uwepo wa Mungu au kuwa Mungu ni mmoja na yeye tu ndo anapaswa kuombwa na kuabudiwa kwa jina lake.

Wengine wanaomba kwa majina ya viumbe kwahiyo salam hiyo ya Amani ni strictly prohibited kwa asiekua muislam.
 
Jamaa....Asalam alykum kaka

Mimi... Wabarakatu wasalamaleko
Baada ya majibu hayo hafanyi tena mambo ake...

Hawa wengine hawanaga mambo mengi.. ila mtu akiniambia sijui shalom shalom huwa naokota mawe
 
ni salamu nzuri
 
haya maswali ungemuuliza bibi yako kabla hujaja Dar.

Nakumbuka kipindi unaomba msaada hapa JF ulikua mstaarabu na uliitikia kila aina salam..

Leo kijana umelijua JIJI, umeota mapembe
Hayo maswali siwezi kumuuliza bibi yangu!
Bibi yangu hakuwa muumini wa salamu za Bwana yesu asifiwe na Asalam Aleykum.
 
Jamaa....Asalam alykum kaka

Mimi... Wabarakatu wasalamaleko
Baada ya majibu hayo hafanyi tena mambo ake...

Hawa wengine hawanaga mambo mengi.. ila mtu akiniambia sijui shalom shalom huwa naokota mawe
Shalom shalom kijana nimeonyeshwa na roho mtakatifu unapenda mishangazi hilo ni pepo๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ