Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asalam Alaykum warhamtullah wabarakatuh.Maana ya asalam aleykum (kama sijakosea). Ni nini??
Alafu kingine atajuaje kama huyu ni muislamu au sio?
Weka vifungu vinavyokataza
Mtu wa makamo ya baba yako umuitikie "POA"?
kwani Bwana Yesu asifiwe au Asalam Aleko zina shida gani?
Kijana huna nidhamu kabisa..
Walokole ukiwaitikia wanaanza kukuhubiria habari za bwana yesu Kwa sauti ya kuunguruma.Najibu tu kwa sababu najua haitaniathiri chochote ila za walokole nakausha kwa sababu wengi wao wana matatizo makubwa😂
Mi nawajibu 'kupe kupe kubamba'.Mimi huwa nawajibu "sava bye" ilimradi nionekane natokea Kongo.
Ukiwakatalia wanajifanya wanayo vita ya kiroho😅😅😅Walokole ukiwaitikia wanaanza kukuhubiria habari za bwana yesu Kwa sauti ya kuunguruma.
ni salamu nzuriAsalam Alaykum warhamtullah wabarakatuh.
Maana yake ni "Amani iwe juu yako na rehema za Mungu na baraka zake".
Haifai kumuombea rehema mtu asie amini uwepo wa Mungu au kuwa Mungu ni mmoja na yeye tu ndo anapaswa kuombwa na kuabudiwa kwa jina lake.
Wengine wanaomba kwa majina ya viumbe kwahiyo salam hiyo ya Amani ni strictly prohibited kwa asiekua muislam.
Hahahhaha hiyo naokota mawe uwiiiJamaa....Asalam alykum kaka
Mimi... Wabarakatu wasalamaleko
Baada ya majibu hayo hafanyi tena mambo ake...
Hawa wengine hawanaga mambo mengi.. ila mtu akiniambia sijui shalom shalom huwa naokota mawe
😂😂😂😂😂 Mi sipendi mtu kunifanyia mambo ya kichina(hayaeleweki)Hahahhaha hiyo naokota mawe uwiii
Watu kama nyie mkipigwa na maostadhi kutoka masjid mtoro mtasema mnaonewa au ,,,,,?Kuna hii salamu inaitwa Sala maleko Mimi hujibu salama maana kujibu maleko msilamu ulimi huwa mzito ghafla bin vuu!
Hayo maswali siwezi kumuuliza bibi yangu!haya maswali ungemuuliza bibi yako kabla hujaja Dar.
Nakumbuka kipindi unaomba msaada hapa JF ulikua mstaarabu na uliitikia kila aina salam..
Leo kijana umelijua JIJI, umeota mapembe
Wanakutabiria kitakachojiri baadaye, eti "JIONI YA LEO!"Ukiwakatalia wanajifanya wanayo vita ya kiroho😅😅😅
Watu kama nyie mkipigwa na maostadhi kutoka masjid mtoro mtasema mnaonewa au ,,,,,?
😂😂😂😂😂😂
[/OTE]
Halafu sura yangu inafanania Arabuni/Somalia kwa hiyo nalo linachangia sana.
Shida walitakiwa wawepo mirembe ndio tatizo.Wanakutabiria kitakachojiri baadaye, eti "JIONI YA LEO!"
Shalom shalom kijana nimeonyeshwa na roho mtakatifu unapenda mishangazi hilo ni pepo😂Jamaa....Asalam alykum kaka
Mimi... Wabarakatu wasalamaleko
Baada ya majibu hayo hafanyi tena mambo ake...
Hawa wengine hawanaga mambo mengi.. ila mtu akiniambia sijui shalom shalom huwa naokota mawe
Aaaaah mi kwanza mniache maana hili pepo naona kabisa lina faida nyingi kuliko hasara..Shalom shalom kijana nimeonyeshwa na roho mtakatifu unapenda mishangazi hilo ni pepo😂