Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahahaha...ok nakuelewa MkuuUsipime na wako comfortable hatari nimeishi pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha...ok nakuelewa MkuuUsipime na wako comfortable hatari nimeishi pale
Shida Sasa ni ku deal na hiyo akili ya maisha maana kama ana mtoto wa kiume ni Kila kitakachopatikana kitaenda kwake na akiumwa akaambiwa moyo unashida single Maza huyo anaweza kukuomba moyo wake awekewe boy wakeLakin kumbukeni wanawake wenye akili ya maisha ni singo maza
Arusha nadhani inaongoza kwa single mamas na wamesimama wima wamenyooka ni usipimeHahahahaha, kwamba Mbeya wamejaa Single mother? Hizi mada nazo kha
Hahahahaha ,wamenyoooka vipi yaani, MkuuArusha nadhani inaongoza kwa single mamas na wamesimama wima wamenyooka ni usipime
Ni kuchukua tatizo huku unaliona.Pamoja na hayo Duh!single mother hafai hata kidogo
Wewe hutakuwa nazo utategemea zake, ama?Lakin kumbukeni wanawake wenye akili ya maisha ni singo maza
Ukiona mwanaume anataka kuoa au kaoa jua hana akili za kutosha ndo maana anatafuta mke ili wasaidianeWewe hutakuwa nazo utategemea zake, ama?
Hofu ya kugongewa.Mughonile
Kûna Vijamaa humu vinachekeshaga Sana, unakuta vimekaza mishipa kîla Siku kuponda single mother alafu vyenyewe vipo na Wanawake àmbao hawakuwakuta na Bikila. Chongo hamacheki mwenye kengeza. Demu asiye na bikra na singe mother wàpo kundi Moja. Hamuwezi kuchekana kivile. Wôte mmeuziwa mbuzi Kwa gunia
Bikra Matter. Kama Hana Bikra Kataa Ndoa
Wanaume wenye akili huoa kwa lengo la kuanzisha familia.Ukiona mwanaume anataka kuoa au kaoa jua hana akili za kutosha ndo maana anatafuta mke ili wasaidiane
Wanaume wenye akili za kutosha hawaoi