Unakataa Watu wasioe single mother Wakati wewe uliyenaye hukumkuta Bikra, chongo na kengeza hawachekani

Unakataa Watu wasioe single mother Wakati wewe uliyenaye hukumkuta Bikra, chongo na kengeza hawachekani

Mughonile

Kûna Vijamaa humu vinachekeshaga Sana, unakuta vimekaza mishipa kîla Siku kuponda single mother alafu vyenyewe vipo na Wanawake àmbao hawakuwakuta na Bikila. Chongo hamacheki mwenye kengeza. Demu asiye na bikra na singe mother wàpo kundi Moja. Hamuwezi kuchekana kivile. Wôte mmeuziwa mbuzi Kwa gunia

Bikra Matter. Kama Hana Bikra Kataa Ndoa
Hofu ya kugongewa.
 
Wewe acha kupotosha bikra ni zero kilometre lakini kuna km 20000 ambao sio bikra lkn pia sio single maza alafu kuna km 200000 ambao ndio single maza

Kama wewe umechagua gari lenye mileage ya km 200000 usiseme uko sawa na mwenye gari la km 20000 japo wote mna magari used

Zero kilometre tunamiliki sisi watu wa serikalini tu😁😁😁
 
Back
Top Bottom