Unakimbilia Dar kuchoma mahindi nyuma unaacha madini, shame on you

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Bei ya DHAHABU Leo tarehe 13/12/2025 kwa gram 1 ni kama ifuatavyo:

◼️Soko la Dunia TSH 344,033/=
◼️Bei za masokoni kwetu: 309,630/=
◼️Bei za kwenye centre huko migodini TSH 302,749/=
Just 1 gram tu .
Unakimbilia dar kuuza mahindi ya kuchoma unaacha mali zimbu kbs wewe
 
Unafikiri dhahabu unaokota tu,FALAsi kweli wewe
 
kwamba hyo gram 1 unaiokota kila upitapo siyo? we ni mbogamboga utakuwa.
Fikiria kuna ndugu yangu ametoka ulaya na hela zake akafakamia uchimbaji, alirudi nyumbani na amevaa kandambili . kaptura na tisheti, sasa kwanza tukadhani amerogwa kawehuka, kumbe mzima kabisa
Ilibidi tumuunge na simu zetu apigie rafiki zake huko ulaya wakamtumia nauli, akasepa zake
 
jamaa anapiga porojo za akina samuya
 
Back
Top Bottom