Kipindi nasoma pale Mwanza sekondari, Kuna dogo ALIKUA rafiki yangu sana siku MOJA nmeenda kwao nikakuta bonge moja la mjengo wa hatari, alafu dogo Yuko simple TU nilivo kuuliza akadai baba yake ni mtu wa uvuvi wa samaki MKUBWA, hapo ndo nikajua kumbe Kuna watu hawachimbi dhahabu ila wanapiga mabilioni si mchezoUkifanya kazi ya uvuvi wa samaki ziwani au baharini na Uchimbaji wa madini, hakuna hustle utakushinda hapa bongo!
Kumbe una kaukorofiWewe umeuza gram ngapi mkuu
Kazi ni kazi alimradi ni halali na mkono unaenda kinywani
Hajui shughuli ya kuchimba hayo madini ilivyo...Biashara za whatsapp na motivational speakers. Kila kitu huwa rahisi
Tokea lini aisee!Kumbe una kaukorofi😁😁😁
Huoni hio koment yako mkuu maranyingi huwa naonaga unakomenti kipadre padre!Tokea lini aisee!
Ndugu ni kweli hayo unayoyasema, ila ukiwa wewe kama binadamu njoo na shuluhisho kwakuandika mchakato wa nini wakifanye vijana wanaotoka maeneo hayoBei ya DHAHABU Leo tarehe 13/12/2025 kwa gram 1 ni kama ifuatavyo:
◼️Soko la Dunia TSH 344,033/=
◼️Bei za masokoni kwetu: 309,630/=
◼️Bei za kwenye centre huko migodini TSH 302,749/=
Just 1 gram tu .
Unakimbilia dar kuuza mahindi ya kuchoma unaacha mali zimbu kbs wewe
Ungejua hamna watu wakorofi kama mapadre!Huoni hio koment yako mkuu maranyingi huwa naonaga unakomenti kipadre padre!
Huku kumejaa mahindi tu mkuu mwenyewe nampango wakuyaleta mjini kuyauzaUngejua hamna watu wakorofi kama mapadre!
Huko kwenu hamna dhahabu tuje kuchuma tuache kuchoma mahindi huku mjini.
Daah!Huku kumejaa mahindi tu mkuu mwenyewe nampango wakuyaleta mjini kuyauza
Wee muache tu 🤣🤣Unaelewa mzk wa uchmbaji? madini cyo mapera inava yenyewe nakuchuma
🤣🤣kwamba hyo gram 1 unaiokota kila upitapo siyo? we ni mbogamboga utakuwa.
🤣🤣🤣Fikiria kuna ndugu yangu ametoka ulaya na hela zake akafakamia uchimbaji, alirudi nyumbani na amevaa kandambili . kaptura na tisheti, sasa kwanza tukadhani amerogwa kawehuka, kumbe mzima kabisa
Ilibidi tumuunge na simu zetu apigie rafiki zake huko ulaya wakamtumia nauli, akasepa zake
Both Kmmk 😁😁Dhahabu = adhabu