Saa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 6,552
- 13,002
Inaonekana wewe umeshiba. Mshukuru MunguSio lazima uchimbe wewe nunua makwe tu kwa wachimbaji fanya processing pata ela
Inaonekana wewe umeshiba. Mshukuru MunguSio lazima uchimbe wewe nunua makwe tu kwa wachimbaji fanya processing pata ela
Njoo field ujionee, welcome on the board.Sio lazima uchimbe wewe nunua makwe tu kwa wachimbaji fanya processing pata ela
Watu wengi wanadhani ukijihusisha na madini lazima uchimbe ama uingie shimoni kitu ambapo sio kweli unaweza miliki mwalo au ukawa unanunua make na kuyasaga kisha utawapa waoshaji wewe ni kusubiri wakati wa kupiga chabo tu then kuchoma dhahabu na kuuzaNjoo field ujionee, welcome on the board.
Njoo na huo mtaji, nina experience over ten years. Njoo tukamue makilo tukauze Dubai.
Ungeongea tu lugha ya Taifa, mkuu.Motivational Speaker at it's his best
Hii i chaiFikiria kuna ndugu yangu ametoka ulaya na hela zake akafakamia uchimbaji, alirudi nyumbani na amevaa kandambili . kaptura na tisheti, sasa kwanza tukadhani amerogwa kawehuka, kumbe mzima kabisa
Ilibidi tumuunge na simu zetu apigie rafiki zake huko ulaya wakamtumia nauli, akasepa zake
Mimi naamini tz inatoa madini matonne na matonne sema yanatoloshwa kinyamela kwa mfano pale GGM ndege zinasomba madini kila siku tena zinaingia usiku na kuruka .huo uchumi wa dhahabu wenyewe alioujenga B.Mkapa wameshaua, sasa hivi ni service industry ya tourism tu, tumerudi kule kule tulikokuwa, kuna kipindi tanzagiza ilikuwa ni namba 2 kwa utoaji dhahabu afrika, leo hii chini ya hawa watu tumeshuka hadi namba 7 kutoka namba 2 wakati ya B.Mkapa hadi 7 leo hii, kazi yoote aliyopiga B.Mkapa wamereverse kila kitu backwards ...
Hapo ndo kuna kazi, sogea tufanye kazi mkuu. Nyenzo na ujuzi ninavyo we njoo.Watu wengi wanadhani ukijihusisha na madini lazima uchimbe ama uingie shimoni kitu ambapo sio kweli unaweza miliki mwalo au ukawa unanunua make na kuyasaga kisha utawapa waoshaji wewe ni kusubiri wakati wa kupiga chabo tu then kuchoma dhahabu na kuuza
😅😅kwamba hyo gram 1 unaiokota kila upitapo siyo? we ni mbogamboga utakuwa.
ku.manyoko wewe hii kick yenu maccm imebuma mmeitumia kwa miaka mingi sasa watanganyika wameshtuka kumbe amani mnamaanisha ccm itawale kwa dhuruma au haki, maccm yajilimbkizie mali, watu watekwe na kufirwa ksha kuuwawa ndo amani hiyo, hakuna kukosoa ccm na serikali KU.MA weweAmani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
miaka 64 ya uhuru dsm leo hii wk ya 2 hakuna maji halafu kuna mak.manyoko humu yanasema amani amani bora tupgane vita mbaya sn hiki kzazi cha maku.ma kama wewe kpotee kije kzazi knachoweza tumia rasilimali za taifa hli kwa kunufaisha wananchi wote na taifa na si kakikundi ka watu wachache na familia zao. KU.MA WEWEAmani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Unavyowaza unafikiri kuchimba ni rahisirahisiBei ya DHAHABU Leo tarehe 13/12/2025 kwa gram 1 ni kama ifuatavyo:
◼️Soko la Dunia TSH 344,033/=
◼️Bei za masokoni kwetu: 309,630/=
◼️Bei za kwenye centre huko migodini TSH 302,749/=
Just 1 gram tu .
Unakimbilia dar kuuza mahindi ya kuchoma unaacha mali zimbu kbs wewe