Unakimbilia Dar kuchoma mahindi nyuma unaacha madini, shame on you

Unakimbilia Dar kuchoma mahindi nyuma unaacha madini, shame on you

Kahama,Geita,Chunya,Nyamongo,Mwadui na kwingineko kwenye uchimbaji madini kuna bodaboda wengi kuliko hao vijana walioamua kujishughulisha na madini.
 
Kuna mtu aliwahi niambia ni wapi uliwahi kuona wachimbaji wadogo ni matajiri
Inategemea na tafsiri yako ya mchimbaji mdogo, kama unamaanisha wale wanaozama kupiga Moko na Bambam na Manyani wanaozamia duara zenye uzalishaji kuiba mawe yanayobebeka mfukoni ndio wachimbaji wadogo basi upo sahihi kusema hawatajiriki kwasababu wengi hawana mentality ya kutajirika bali kupata pesa kubwa wakatumie kwenye starehe.

Lakini wachimbaji wadogo ni kundi linalojumuisha kuanzia anaeingia duarani, anaefadhili uchimbaji wa duara, anaenunua mawe na kusaga, anaemiliki mwalo, anaesimamia shamba, hadi anaesimamia leseni za huo uchimbaji mdogo.

Wengi sana wamefanikiwa, nenda Kahama, Katoro, Tarime na Geita utakutana na habari zao.
 
Calculate ur move , motherfucker

Kule madini yanapatikana umeona hali za VIJANA wa huko.

Serikali kuhusu madini ishauza minofu kwa kampuni za mabeberu

Hapo unaongea Kama MTU ambaye kapewa bia za bure
 
Calculate ur move , motherfucker

Kule madini yanapatikana umeona hali za VIJANA wa huko.

Serikali kuhusu madini ishauza minofu kwa kampuni za mabeberu

Hapo unaongea Kama MTU ambaye kapewa bia za bure
Unauhakika nenda chunya huko mbeya vijana wadogo tu under 25 wanamiliki ndinga za maana kbs we endelea kupigania siti za mwendokasi
 
Kumuita mtu mjinga kwa kuchagua biashara anayoimudu ni ujinga wa kiwango cha juu.

Umeiona bei Google akapata nguvu ya keyboard.

Akili si kuona fursa tu.
Akili ni kujua kama unaweza kuimudu.
Sawa endelea kuchoma mahindi, fainali uzeeni
 
Inategemea na tafsiri yako ya mchimbaji mdogo, kama unamaanisha wale wanaozama kupiga Moko na Bambam na Manyani wanaozamia duara zenye uzalishaji kuiba mawe yanayobebeka mfukoni ndio wachimbaji wadogo basi upo sahihi kusema hawatajiriki kwasababu wengi hawana mentality ya kutajirika bali kupata pesa kubwa wakatumie kwenye starehe.
Nawazungumzia hawa ambao mitaji yao ni nguvu kama sisi
 
Mwaka 2024 Tanzania tumezalisha gold Tani 60 .
Waza ama piga hesabu kwenye soko la dunia ni kiasi gani na pia utafute Tanzania ilipata shilingi kwa mauzo hayo ya dhahabu
 
Bei ya DHAHABU Leo tarehe 13/12/2025 kwa gram 1 ni kama ifuatavyo:

◼️Soko la Dunia TSH 344,033/=
◼️Bei za masokoni kwetu: 309,630/=
◼️Bei za kwenye centre huko migodini TSH 302,749/=
Just 1 gram tu .
Unakimbilia dar kuuza mahindi ya kuchoma unaacha mali zimbu kbs wewe
Utakuwa huijui dhahabu inavyopatikana mkuu! Wakati nikiwa kijana mdogo just 19yrs nilitinga Nyarugusu, wakati huo wilaya ya Geita, wee mbona nilikimbia mwenye bila kuaga na kurudi kulipa! Mziki wa dhahabu usikie kwa watu! Ingekuwa inaokotwa tu Wasukuma wote tungekuwa matajiri!
 
Sio lazima uchimbe wewe nunua makwe tu kwa wachimbaji fanya processing pata ela
Usifikri ukinunua mawe ndiyo umepata dhahabu. Kuna process ndefu hujapata kuiona. Kuna kitu wanaita kuozesha mawe/mchanga hapo unaweza kuwa na Tani 7 za mchanga ukatoka kapa! Watu wanafirisika huko migodini!
 
Back
Top Bottom