Mbogamboga mzee huyo, vijana jiajirini wakt wao mpaka wanasinzia kwenye vikao kwa uzee ila hawana hata dalili ya kujiajiri.Unaelewa mzk wa uchmbaji? madini cyo mapera inava yenyewe nakuchuma
kuporora kupo pia, mtaji ukakata kwa siku moja tu.Sio lazima uchimbe wewe nunua makwe tu kwa wachimbaji fanya processing pata ela
Unafikiri dhahabu unaokota tu,FALAsi kweli weweBei ya DHAHABU Leo tarehe 13/12/2025 kwa gram 1 ni kama ifuatavyo:
◼️Soko la Dunia TSH 344,033/=
◼️Bei za masokoni kwetu: 309,630/=
◼️Bei za kwenye centre huko migodini TSH 302,749/=
Just 1 gram tu .
Unakimbilia dar kuuza mahindi ya kuchoma unaacha mali zimbu kbs wewe
Wakati huo mtaji umetoka wapi?..mtaji wa kuuza mahindi hata laki haufiki,na utapiga 15-20k faida kwa sikuSio lazima uchimbe wewe nunua makwe tu kwa wachimbaji fanya processing pata ela
Fikiria kuna ndugu yangu ametoka ulaya na hela zake akafakamia uchimbaji, alirudi nyumbani na amevaa kandambili . kaptura na tisheti, sasa kwanza tukadhani amerogwa kawehuka, kumbe mzima kabisakwamba hyo gram 1 unaiokota kila upitapo siyo? we ni mbogamboga utakuwa.
Jamaa Hana akili kabisaWakati huo mtaji umetoka wapi?..mtaji wa kuuza mahindi hata laki haufiki,na utapiga 15-20k faida kwa siku
jamaa anapiga porojo za akina samuyaFikiria kuna ndugu yangu ametoka ulaya na hela zake akafakamia uchimbaji, alirudi nyumbani na amevaa kandambili . kaptura na tisheti, sasa kwanza tukadhani amerogwa kawehuka, kumbe mzima kabisa
Ilibidi tumuunge na simu zetu apigie rafiki zake huko ulaya wakamtumia nauli, akasepa zake
Huyu dhahabu anaisikia tu hajui mpelampela wakeUnaelewa mzk wa uchmbaji? madini cyo mapera inava yenyewe nakuchuma