Unakimbilia Dar kuchoma mahindi nyuma unaacha madini, shame on you

Njoo field ujionee, welcome on the board.

Njoo na huo mtaji, nina experience over ten years. Njoo tukamue makilo tukauze Dubai.
Watu wengi wanadhani ukijihusisha na madini lazima uchimbe ama uingie shimoni kitu ambapo sio kweli unaweza miliki mwalo au ukawa unanunua make na kuyasaga kisha utawapa waoshaji wewe ni kusubiri wakati wa kupiga chabo tu then kuchoma dhahabu na kuuza
 
huo uchumi wa dhahabu wenyewe alioujenga B.Mkapa wameshaua, sasa hivi ni service industry ya tourism tu, tumerudi kule kule tulikokuwa, kuna kipindi tanzagiza ilikuwa ni namba 2 kwa utoaji dhahabu afrika, leo hii chini ya hawa watu tumeshuka kutoka namba 2 wakati ya B.Mkapa hadi 7 leo hii, kazi yoote aliyopiga B.Mkapa kila kitu ni backwards ...
 
Hii i chai
 
Mimi naamini tz inatoa madini matonne na matonne sema yanatoloshwa kinyamela kwa mfano pale GGM ndege zinasomba madini kila siku tena zinaingia usiku na kuruka .
Shida itakuwa sera mbovu ya madini maana mama yetu amekomalia utalii tu
 
Hapo ndo kuna kazi, sogea tufanye kazi mkuu. Nyenzo na ujuzi ninavyo we njoo.
 
Ukifanya kazi ya uvuvi wa samaki ziwani au baharini na Uchimbaji wa madini, hakuna hustle utakushinda hapa bongo!
 
Ushawahi hata kuchimba choo cha futi 3? Haya njoo tukuungishe na watu wa Mwime ukajiokotee dhahabu.
 
Kuna jamaa yangu ama g170 alikuwa anasubiri bei ipande pande kidogo
 
Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
ku.manyoko wewe hii kick yenu maccm imebuma mmeitumia kwa miaka mingi sasa watanganyika wameshtuka kumbe amani mnamaanisha ccm itawale kwa dhuruma au haki, maccm yajilimbkizie mali, watu watekwe na kufirwa ksha kuuwawa ndo amani hiyo, hakuna kukosoa ccm na serikali KU.MA wewe
 
Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
miaka 64 ya uhuru dsm leo hii wk ya 2 hakuna maji halafu kuna mak.manyoko humu yanasema amani amani bora tupgane vita mbaya sn hiki kzazi cha maku.ma kama wewe kpotee kije kzazi knachoweza tumia rasilimali za taifa hli kwa kunufaisha wananchi wote na taifa na si kakikundi ka watu wachache na familia zao. KU.MA WEWE
 
Unavyowaza unafikiri kuchimba ni rahisirahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…