Unakimbilia Dar kuchoma mahindi nyuma unaacha madini, shame on you

Ukifanya kazi ya uvuvi wa samaki ziwani au baharini na Uchimbaji wa madini, hakuna hustle utakushinda hapa bongo!
Kipindi nasoma pale Mwanza sekondari, Kuna dogo ALIKUA rafiki yangu sana siku MOJA nmeenda kwao nikakuta bonge moja la mjengo wa hatari, alafu dogo Yuko simple TU nilivo kuuliza akadai baba yake ni mtu wa uvuvi wa samaki MKUBWA, hapo ndo nikajua kumbe Kuna watu hawachimbi dhahabu ila wanapiga mabilioni si mchezo
 
Unafikiri dhahabu unaipata kama kuangua maembe

Ova
 
Ndugu ni kweli hayo unayoyasema, ila ukiwa wewe kama binadamu njoo na shuluhisho kwakuandika mchakato wa nini wakifanye vijana wanaotoka maeneo hayo
 
🤣🤣🤣
 
Kuna mshkaji kauza nyumba yake kaenda kuchimba madini,, sasaivi karudi kapagawa
 
🤣🤣🤣🤣🤣Ukipigiwa stori za dhahabu kijiweni unaweza jiona mzembe hivi
 
Kumuita mtu mjinga kwa kuchagua biashara anayoimudu ni ujinga wa kiwango cha juu.

Umeiona bei Google akapata nguvu ya keyboard.

Akili si kuona fursa tu.
Akili ni kujua kama unaweza kuimudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…