Planet Data bundles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,403
- 4,362
Nilikua naangalia mkopo wa nyumba hapa wa miaka 25.Nimeshtuka hiki kiasi cha 16% ambacho ni milion 30.
Nimeishiwa pozi kabisa
Hulipi deni kavu kama unavyodhania mkuu.Nilikua naangalia mkopo wa nyumba hapa wa miaka 25.Nimeshtuka hiki kiasi cha 16% ambacho ni milion 30.
Nimeishiwa pozi kabisa
Hapo neno risk taker mbona kama limetumika vibaya!Hizi mikopo ni kwa risk tekers tu wasiojali na wanaowaza mbali.
Ukianza kuwaza kwa kudadavua huyawezi mambo hayo, lazima urudi nyuma.
Kwani mkuu nawe kuna mahala una deni kubwa?Mkuu Bado usiku sana hatujapiga hata Cha asbh Tyr ushapandisha Uzi wa madeni Tyr ushakata stimu huku ujue
Mstari nilioutumia hapo unahusu watu wasiojali hasara.Hapo neno risk taker mbona kama limetumika vibaya!
Mkuu nadaiwa na crdb mkopo mkubwa na ada loan acha kabisaKwani mkuu nawe kuna mahala una deni kubwa?
Maana hadi jongoo la mtu kudondoka likipanda mtungi, ni mshituko mkubwa na deni si la kitoto😄😁😜
Kwaiyo wanao waza mbali ndo ulipe milion 30 wakat hela umechukua milion10Hulipi deni kavu kama unavyodhania mkuu.
Kuna riba, pia kuna bima ya umauti wako pamoja na marehemu wengine watakaokufa kabla ya deni lao kumalizika gharama unazibeba wewe, wao Benki ah aah!
Maana ukikopa ukafa na deni nalo hufa.
Hapo nimekupa kwa uchache, yapo mengi yanayoangaliwa hapo, mpaka thamani ya fedha kwa miaka yote ya marejesho.
Hizi mikopo ni kwa risk tekers tu wasiojali na wanaowaza mbali.
Ukianza kuwaza kwa kudadavua huyawezi mambo hayo, lazima urudi nyuma.
😀😀😀😀unapiga cha asubuhi una raha gan na maisha haya ya mfumuko wa beiMkuu Bado usiku sana hatujapiga hata Cha asbh Tyr ushapandisha Uzi wa madeni Tyr ushakata stimu huku ujue
NdioUlitaka urudishe 10m baada ya miaka 25😁😂
Nahisi myHapo neno risk taker mbona kama limetumika vibaya!
Nimemkumbusha alitaka asahauKwani mkuu nawe kuna mahala una deni kubwa?
Maana hadi jongoo la mtu kudondoka likipanda mtungi, ni mshituko mkubwa na deni si la kitoto😄😁😜
Pole. Hulka ya binadamu ni kuhisi hivyo, kwamba jambo hili ni kubwa sana nk nk, kumbe kuna watu wakikueleza ya kwao, unakaa kustaajabu!Mkuu nadaiwa na crdb mkopo mkubwa na ada loan acha kabisa
Gentleman,Nilikua naangalia mkopo wa nyumba hapa wa miaka 25.Nimeshtuka hiki kiasi cha 16% ambacho ni milion 30.
Nimeishiwa pozi kabisa
Kwani ungechukua loan ya 5 years ungelipa ngapi?Nilikua naangalia mkopo wa nyumba hapa wa miaka 25.Nimeshtuka hiki kiasi cha 16% ambacho ni milion 30.
Nimeishiwa pozi kabisa
Milioni kumi unajenga nyumba au banda? Nadhani jina la mkopo lisiwe Mkopo wa nyumba labda waite mkopo wa kumalizia nyumba yako uliojenga maana kuna wale wanaojenga nyumba na kushindwa kuimaliza na mimi nikiwemo kwenye hilo kundi.Nilikua naangalia mkopo wa nyumba hapa wa miaka 25.Nimeshtuka hiki kiasi cha 16% ambacho ni milion 30.
Nimeishiwa pozi