Ndio uislamu unavyoelekeza, kwa sababu sio kwamba hela zako wameziweka tu ,wanazifanyia kaziUlitaka urudishe 10m baada ya miaka 25😁😂
Biashara ya mabenki ipo katika mikopo. Kazi kuu ya Benki, ni kukusanya pesa kutoka kwa wateja na kuzikopesha ili kupata faida. Fomular ya mikopo ipo hivi. Ukikopa x baada ya n miaka unalipa jumla x+(0.1*x*n); n ni miaka ya marejesho. Ukikopa million 100 mwaka wa kwanza unalipa million 110; mika miwili inakuwa 120; tatu 130; miaka 10 million 200 etcKwaiyo wanao waza mbali ndo ulipe milion 30 wakat hela umechukua milion10
DON'T CARES.Mstari wake hapo nilioutumia ni kwa watu wasiojali hasara.
Wale ambao huangalia jambo lao lifanyike bila kujali gharama zitokanazo!
Labda sasa watu hao tuwaweke kwenye tafsiri gani sahihi mkuu?
Yap!DON'T CARES.
Hiyo sio Risk taking ni Umpumbavu.Yap!
Utasikia jamaa anasema: 'nitampata kwa gharama yoyote ile'
HapoMstari nilioutumia hapo unahusu watu wasiojali hasara.
Wale ambao huangalia jambo lao lifanyike bila kujali gharama zitokanazo!
Labda sasa watu hao tuwaweke kwenye tafsiri gani sahihi mkuu?
Si unakataa kidogo kidogo bila hata kuhisi kama unakatwaDuuh mkopo miaka 25.
Watu wanatafuta umaskini kinguvu.
Jiungeni SACCOS, Banimk zitawaua kummmmakaeNilikua naangalia mkopo wa nyumba hapa wa miaka 25.Nimeshtuka hiki kiasi cha 16% ambacho ni milion 30.
Nimeishiwa pozi kabisa
Si unakataa kidogo kidogo bila hata kuhisiDuuh mkopo miaka 25.
Watu wanatafuta umaskini kinguvu.
Una uhakika ameshindwa kucontrol au ndivyo inataka?Riba za mabenki ya Kitanzania sio rafiki either uchukue mkopo wa miezi 6,mwaka 1,au miaka 6 bado riba ni kubwa sana.Ndio maana Tanzania mabenki ni zaidi ya 18 na yote yana exist na yana pata faida.
Katika vitu ambavyo Serikali kupitia B.O T imeshidnwa ku control ni riba za mabenki.