Unakosea, Unakosea na nasema tena Unakosea wenye Akili hawashindani na 'System' Kibwege (Kipumbavu) hivi..shauri yako!!

Nakuonea sana Huruma japo Wanafiki na Wasiojua mambo ya Kimtambuka duniani watakupongeza na kukujaza Upepo, ila nina uhakika wa 100% hao hao baadae watakuacha peke yako na Wengineo kuanza Kukucheka japo juzi, Jana na leo watakuona Shujaa.

Najua katika huu Uzi wangu nitashambuliwa mno na Wanafiki wale wale ambao wana Mihemko ya Kisiasa na Chuki ila naamini wenye Akili Kubwa watanielewa vyema kabisa.

Watu waliosoma vyema Strategic Studies watakumbuka hii Kanuni Kuu ya KUUSOMA KWANZA MCHEZO KABLA YA KUUCHEZA na unatakiwa kuwa very Smart Kupambana na Tawala nyingi za Kimafia barani Afrika vinginevyo utakuwa unakaribisha DHAHAMA yako mwenyewe na baadae kuja Kujuta.

View attachment 3354205
Wewe ni tabulalasasa
Empty set
 
Alipozungumzia suala la watu kupotea, chadema wakamuungia wakamjaza upepo, fahamu zikamtoka, ndipo shida ilipoanzia, hata leo, ukasimama unasema Rais mbaya, chadema wote watakusapoti, yaani Hawa jamaa hawana akili kabisa.
 
Kutolea ufafanuzi kila Jambo unaonekana kiande, mengine achana nayo..
Anachofanya gwajima kipo scripted,wewe kaa subiri uone..ufurahi kuona limetupwa jiwe gizani watu washapiga kelele?? Huyo anae tuma watu watekwe Atatolewa na Usalama wa taifa la sivyo kitawaka..
 
Wabongo kwa kujifanya wana akili na maujuzi ya usalama dah, ngachoka, we mwenye akili na unayejua mbinu unatumia id fake kuelekeza! Acha wanaume wafanye kazi kule kama wamekosea we fanya yako mema!

Something must be done kwa hali tuliyofikia, hamnaga right time wala right process, hata Nyerere hakusubiri right time ndio aombe uhuru, we subiri kande tu hapo ushibe ubaki kupumua tu, hizi sio league zako ukiona huelewi
Yaani wewe unasema wenzio wanatumia id fake kueleze na wewe unatumia mbinu hiyo hiyo kueleza!
Ajabu zaidi.
 
Nakuonea sana Huruma japo Wanafiki na Wasiojua mambo ya Kimtambuka duniani watakupongeza na kukujaza Upepo, ila nina uhakika wa 100% hao hao baadae watakuacha peke yako na Wengineo kuanza Kukucheka japo juzi, Jana na leo watakuona Shujaa.

Najua katika huu Uzi wangu nitashambuliwa mno na Wanafiki wale wale ambao wana Mihemko ya Kisiasa na Chuki ila naamini wenye Akili Kubwa watanielewa vyema kabisa.

Watu waliosoma vyema Strategic Studies watakumbuka hii Kanuni Kuu ya KUUSOMA KWANZA MCHEZO KABLA YA KUUCHEZA na unatakiwa kuwa very Smart Kupambana na Tawala nyingi za Kimafia barani Afrika vinginevyo utakuwa unakaribisha DHAHAMA yako mwenyewe na baadae kuja Kujuta.

View attachment 3354205
Watz tuna kausemi kanasemaga * tupo nyuma yako*. Siku ukigeuka unajikuta uko maili elfu moja peke yako.
 
Chukulia tu mfano kwa Mbowe leo kwa Lissu.
Humu jamvini utasikia kesho tunakiamsha tumechoka mwenzao yuko ndani kuwapigania wao.
 
Nelson Mandela angekuwa muoga hivi mpaka sasa SA ingekuwa inatawaliwa
Mandela hakufanya lolote.... CIA iliamua kumaliza utawala wa makaburu kutokana na uelekeo wa siasa za wakati huo na sio kwamba kulikuwa na shinikizo lolote la Mandela. Hata Mandela alikabidhiwa nchi kwa masharti mengi... someni historia vijana.
 
Back
Top Bottom