Unakosea, Unakosea na nasema tena Unakosea wenye Akili hawashindani na 'System' Kibwege (Kipumbavu) hivi..shauri yako!!

Unakosea, Unakosea na nasema tena Unakosea wenye Akili hawashindani na 'System' Kibwege (Kipumbavu) hivi..shauri yako!!

Technically hili ndilo alitakiwa alifanye na ndiyo hata Wenzake kote duniani wenye Akili Kubwa hufanya. Kakosea Hesabu.
Tatizo huwa wanajidanganganya kuwa mama ni mwema hawezi kuwafanya kitu.
Wanasahau kuwa maneno yao yanaweza kumnyanganya kiti ambacho hakukipata kirahisi na hayuko tayari kukiachia kirahisi.
Wangewaza hilo mapema wangejipanga mapema namna ya kumkabili
 
eti mropokaji heche anaendelea kusema dah!🤣

heche huyu huyuhuyu alie liwa pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti? si huyu mjamaa ambae kwa kushirikiana na walinzi wake katili sana alitaka kudhulumu uhai wa Sigrada Mligo pale Njombe au?

kama ni huyo ndio atasema nini sasa na askizwa? 🐒
Unapenda vichambo na pia kufuatilia maisha ya wanaume. I wish ningeitaumbua jinsia yako. Isije ikawa ninabishana na Suphian Juma kupitia ID fake.
 
Popoma tuliza mshono, wewe kitu pekee unaweza mfundisha Gwajiboy ni umaskini tu.
 
Kwani utekaji ulianza jana na juzi ??? , muda wote alikuwa wapi?? hatukumsikia kukemea; hata kuna wakati Marehemu Maalim aliwahi kwenda kukutana naye wala hakutamka chochote kukemea maovu ya serikali ya chama chake CCM
Usikariri maisha mkuu
Things doesn’t work the way you want it be

Issue ni kwamba ukifanya jambo baya unapaswa kukemewa
Ukifanya jambo jema unapaswa kupewa mau yako

BTW sielewi hoja yako ni nini kulingana na mleta hoja

Unamuunga mkono mleta hoja kwamba Gwaji amekosea kukemea utekaji?
 
Sijadogosha mchango wa Mandela ila jua Mandela kuingia madarakani ni uamuzi wa CIA. Hata huu muungano wetu ulikuwa uamuzi wao. Kasome historia
Kuna watu walipambana nyuma ya hiyo CIA unayoifikiria, bila hao
Nakubaliana nawe. Approach iliyotumika haijakaa sawa.
Ukishaona unaopambana nao wanaikubali hiyo approach yako katika madai yako lakini hakuna utekelezaji ujue hayo sio mapambano badili mbinu au weka silaha chini kwamba umeshindwa.
 
Kuna watu walipambana nyuma ya hiyo CIA unayoifikiria, bila hao

Ukishaona unaopambana nao wanaikubali hiyo approach yako katika madai yako lakini hakuna utekelezaji ujue hayo sio mapambano badili mbinu au weka silaha chini kwamba umeshindwa.
Tusubiri tuone mwisho wake
 
Usikariri maisha mkuu
Things doesn’t work the way you want it be

Issue ni kwamba ukifanya jambo baya unapaswa kukemewa
Ukifanya jambo jema unapaswa kupewa mau yako

BTW sielewi hoja yako ni nini kulingana na mleta hoja

Unamuunga mkono mleta hoja kwamba Gwaji amekosea kukemea utekaji?

Sawasawa , ila ujuwe huyu mtu alikuwa na chuki sana na waislamu , na wala hatujamsikia kuomba radhi kwa matamshi yake. Aliona yanayowapata waislamu ni sawa tu na asisahau what goes round comes a round. Sasa yamewafina ndio anapiga kelele
 
Shida iliyopo ni moja tu! Watu wakiamua kusema, kamwe hutaweza kuwanyamazisha wote! Unamfunga Lissu, Heche anaendelea kusema! Unamshambulia Kitima, Gwajima anajitokeza! Unamuua Ben Saanane, Mdude anaibuka! Unamuua Mdude, anatokea mwingine!!

Binafsi sikumbuki kama kuna mtawala katili aliwahi kunyamazisha midomo ya wakosoaji wake. Maana ukimuua mmoja, wanazaliwa wengine 100. Njia pekee ya kuondokana na haya makando kando ni kwa mtawala tu kukubali kusikiliza mawazo ya wananchi, badala ya kusikiliza mawazo potofu ya kundi baya la wahuni waliomzunguka.
Nadhani utawala wa N.korea umefanikiwa katika hilo unalosema haliwezekani
 
Baba yako asingemjua mama yako kukuzaa wewe bora angekuwa anatumia sabuni maana waliomshawishi wewe uzaliwe ndio unaleta pumba
 
Nadhani utawala wa N.korea umefanikiwa katika hilo unalosema haliwezekani
Bahati mbaya kwa Tanganyika, hilo jambo unalo lisema haliwezekani! Maana North Korea ina historia na utamaduni tofauti kabisa na Tanganyika. Na hili ni jambo ambalo unatakiwa kulifahamu.
 
Back
Top Bottom