Unakosea, Unakosea na nasema tena Unakosea wenye Akili hawashindani na 'System' Kibwege (Kipumbavu) hivi..shauri yako!!

Unakosea, Unakosea na nasema tena Unakosea wenye Akili hawashindani na 'System' Kibwege (Kipumbavu) hivi..shauri yako!!

Mkikosaga pa kushika mnasingizia Mungu upuuzi.
Pumbavu wewe. Na wameimba YESU NI BWANA WA VITA MBELE YA RISASI ZENU. MNGEWAUWA SASA. HIYO MAMLAKA YA KISHETANI MUNGU ATAIKOMESHA.
NA NYINYI MSIJE KUWA KAMA M. HAWA MBELE ZA KITI CHA HUKUMU. KIWA NYOKA ALINIDANGANYA NIKALA.
 
Alipozungumzia suala la watu kupotea, chadema wakamuungia wakamjaza upepo, fahamu zikamtoka, ndipo shida ilipoanzia, hata leo, ukasimama unasema Rais mbaya, chadema wote watakusapoti, yaani Hawa jamaa hawana akili kabisa.
Wewe ZEZETA. hivi kwanini mnauwa watu alafu mnalazimisha watu wanyamaze?. DAMU INANENA NA KAMWE AITANYAMAZA KWELI ARDHI MPAKA IPATE HAKI MBELE ZA MUNGU. khaa na Upumbavu wako kusingizia chadema. Na shehe MLIOMUUWA ZANZIBAR Naye aliwasikiliza chadema.
Mijitu meusi sijui kwanini ni MIJINGA kiasi hiki.
 
Gwaji boy kaeleza kitu kiziri mamlaka zetu badala ya kuifanyia kazi press ya Gwaji wao wanamfitia usajili kanisa lake
 
Gwajima alimshambulia Rais hadharani kwa kusema asiwatumbue wateule wake wa vyombo vya ulinzi hadi bunge liamue. Angeongelea tu utekaji na kuzitaka mamlaka zishughulikie isingeleta shida. Tatizo ni mashambulizi yake kwa Rais
sasa alimshambulia au alimshauri kama Rais anaishi kwa kodi ya mtanzania kumshauri ni kumshambilia?
 
Gwaji boy kaeleza kitu kiziri mamlaka zetu badala ya kuifanyia kazi press ya Gwaji wao wanamfitia usajili kanisa lake
Watafanyiaje kazi na wao ndiyo wauwaji mkuu. Shetani ATOI SHETANI wenzie hata siku moja. Mwisho wa haya mauwaji ni kuanza kuuwa watoto na wazazi wa WATEKAJI Tena kwa upanga waone uchungu ndiyo wataacha haya.
 
Wabongo kwa kujifanya wana akili na maujuzi ya usalama dah, ngachoka, we mwenye akili na unayejua mbinu unatumia id fake kuelekeza! Acha wanaume wafanye kazi kule kama wamekosea we fanya yako mema!

Something must be done kwa hali tuliyofikia, hamnaga right time wala right process, hata Nyerere hakusubiri right/perfect time ndio aombe uhuru, we subiri kande tu hapo ushibe ubaki kupumua tu, hizi sio league zako ukiona huelewi
🙏🙏
 
Pamoja na hayo ebu pia tujiulize hivi nchi hii kwasasa ni kosa la jinai kukemea utekaji?

Ni kosa kubwa lipi alilolifanya Gwajima linalostahili haya yote anayofanyiwa. Ina maana watawala wana haki ya kutuvuna/kutuua sisi raia kila tunapoonekana kuwakosoa.

Je tuamini kwamba serikali ndiyo inayoteka, kutesa na kuua raia wake? Mbona watu wanaojitokeza kukemea kwa nguvu uovu unaofanywa nchi hii waonekane wanazipinga mamlaka?

Kama taifa tunatakiwa tujitafakari sana. Tunakoelekea siko kabisa.
Hiki ndo watu wenye akili timamu wanajiuliza
 
Shida iliyopo ni moja tu! Watu wakiamua kusema, kamwe hutaweza kuwanyamazisha wote! Unamfunga Lissu, Heche anaendelea kusema! Unamshambulia Kitima, Gwajima anajitokeza! Unamuua Ben Saanane, Mdude anaibuka! Unamuua Mdude, anatokea mwingine!!

Binafsi sikumbuki kama kuna mtawala katili aliwahi kunyamazisha midomo ya wakosoaji wake. Maana ukimuua mmoja, wanazaliwa wengine 100. Njia pekee ya kuondokana na haya makando kando ni kwa mtawala tu kukubali kusikiliza mawazo ya wananchi, badala ya kusikiliza mawazo potofu ya kundi baya la wahuni waliomzunguka.
eti mropokaji heche anaendelea kusema dah!🤣

heche huyu huyuhuyu alie liwa pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti? si huyu mjamaa ambae kwa kushirikiana na walinzi wake katili sana alitaka kudhulumu uhai wa Sigrada Mligo pale Njombe au?

kama ni huyo ndio atasema nini sasa na askizwa? 🐒
 
Pumbavu wewe. Na wameimba YESU NI BWANA WA VITA MBELE YA RISASI ZENU. MNGEWAUWA SASA. HIYO MAMLAKA YA KISHETANI MUNGU ATAIKOMESHA.
NA NYINYI MSIJE KUWA KAMA M. HAWA MBELE ZA KITI CHA HUKUMU. KIWA NYOKA ALINIDANGANYA NIKALA.
Stop that superstitious belief
 
Mtu smart anajua kutofautisha USA na barbaric systems za bara giza. Mna-waoverestimate hawa jamaa wanajaa vichwa na kufanya maamuzi recklessly. Au even worse ni ilikuwa hivyo tangu mwanzo.
 
Ninachoamini Mimi kuna watu wengine wanaishi Ili kufundisha wengine watambue uwepo Wa mungu muda Wa jambo Fulani unapofika huwezi kuuzuia inawezekana hata yeye mwenyewe hajui Kwa Nini anapata msukumo ndani yake maana amechaguliwa Kwa ajili ya kutimiza jambo flani huwezi kuzuia nyakati hata siku Moja kuna ambacho kinatakiwa kutokea na Sasa kipo karibu kabisa kuonekana machoni pa Kila mtu... Ambao hamjanielewa tujipe muda siku zote muda hua unakuja na majibu sahihi
 
Pumbavu wewe. Na wameimba YESU NI BWANA WA VITA MBELE YA RISASI ZENU. MNGEWAUWA SASA. HIYO MAMLAKA YA KISHETANI MUNGU ATAIKOMESHA.
NA NYINYI MSIJE KUWA KAMA M. HAWA MBELE ZA KITI CHA HUKUMU. KIWA NYOKA ALINIDANGANYA NIKALA.
dua la kuku huwa linaombwa na masikini
tafuta hela, uache kuimbaimba hizi ngano za mashariki ya kati.....
 
Umeandika ujinga sana aiseee,, Acha kunitisha na kumtia uoga kuna lolote ulijualo zaidi ya tope zilizokujaa kichwani bata waheed
 
dua la kuku huwa linaombwa na masikini
tafuta hela, uache kuimbaimba hizi ngano za mashariki ya kati.....
Sasa ni mpuuzi sana. Endelea kuuwa Wala usijari. Sasa kawazuie kuimba Kama unao huo uwezo takataka wewe. Unaenda na siraha watu wanapiga pambio tu. Na utaburuzwa sana katika ushenzi kwa faida ya mabwana zako. Mnatetea kuuwawa kwa watu mtu anayakemea maovu unachukia. Mashetani mmeshikwa kende mnarukaruka tu .
 
Back
Top Bottom