Best comment ever!Gaucho Alikuwa Hachezi Mpira, Bali alikuwa Akiuchezea Mpira...
Yaap! Mpaka leo ana maumivu ya nyonga!
Ahsante kwa kunisahihisha mkuu, ilifanyikia Marekani nadhani ilikuwa 98
Siwezi kubisha hiloGaucho ni wakipekee
Huyo Boateng angecheza na Zidane angemsifia zaidi hata ya Gaucho
Hii si kweliMkitaka ushuhuda mwengine unaofanana na wa Jerome mtafuteni Ashley Cole juu ya madhira aliyokumbana nayo wakati wa World Cup 1994 quater final, alitenguliwa nyonga hakurudi tena uwanjani. Mpira ulikuwa ukimuona Gaucho ulikuwa unamtii kama vile Mbwa amwonapo chatu.
Hiyo chaiHiv Gaucho alicheza world cup 1994 ??
Nlikuwa cjui aisee
Ilikua nov 2005 el classico santiago ambapo kama sikosei madrid ilikua na watu wenye majina makubwa sana kina beckam nk.Ndio mchezaji pekee wa Barcelona ambaye aliifunga Real Madrid na mashabiki wa Real Madrid wakasimama kumpigia makofi aaaah Bravo Gaucho
Duh!! Bro hiz ni fix za 1st class world cup 1994 quarter final.. Hao wote walikuwa mavi matupu.. Mtu pekee alienda km kijana alikuwa ronaldo de lima.Mkitaka ushuhuda mwengine unaofanana na wa Jerome mtafuteni Ashley Cole juu ya madhira aliyokumbana nayo wakati wa World Cup 1994 quater final, alitenguliwa nyonga hakurudi tena uwanjani. Mpira ulikuwa ukimuona Gaucho ulikuwa unamtii kama vile Mbwa amwonapo chatu.
Huyu anatutungia hadithi..Mkuu 98 world cup ilifanyika Ufaransa na Gaucho hakuwepo kwenye squad.
Anamfaham vip labda kwa mfano!?Hata Hivyo Boateng Anamfahamu Vizuri Zidane...
Ronaldinho alikua akicheza mpira hata malaika wanacha kazi zao wanamuangalia na kushangilia huko mbinguni.
Alizaliwa kucheza mpira na kuuchezea mpira. Hata mpira ulipokua ukifika miguuni kwa Dinho ulikua unajua umefika nyumbani.
Wacha uongo ni 2002.Mkitaka ushuhuda mwengine unaofanana na wa Jerome mtafuteni Ashley Cole juu ya madhira aliyokumbana nayo wakati wa World Cup 1994 quater final, alitenguliwa nyonga hakurudi tena uwanjani. Mpira ulikuwa ukimuona Gaucho ulikuwa unamtii kama vile Mbwa amwonapo chatu.
Halafu badae anasema ilikuwa 98 .Mwanzo nilimchukulia kakosea bahati mbaya ila baadae nikajiridhisha kuwa hamjui hata huyo Ronaldinho.Hakumuona akicheza anamuona kwenye clips tu.Huyu anatutungia hadithi..
Kuna wengine CONFEDERATIONS, WORLD CUP na COPA AMERICA hawajabeba ila wanaitwa the best player in the world, wewe unashangaa kombe la mfalme?sasa ilikuwe akashindwa ipa Barcelona japo kombe la mfalme mara moja
MAANA MPIRA WAMTII
Acha uongo kaka au rudi kachek kumbukumbu zako upya.Mkitaka ushuhuda mwengine unaofanana na wa Jerome mtafuteni Ashley Cole juu ya madhira aliyokumbana nayo wakati wa World Cup 1994 quater final, alitenguliwa nyonga hakurudi tena uwanjani. Mpira ulikuwa ukimuona Gaucho ulikuwa unamtii kama vile Mbwa amwonapo chatu.