Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
HuwendaYaelekea umekulia malezi mabovu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HuwendaYaelekea umekulia malezi mabovu sana.
Wakuu salama?
Kuna watu ni wa ajabu sana. Sijui wanajikutaga akina nani vile. Unakuta jitu limekuja sehemu aidha dukani au popote pale, limekukuta likakupita tu. Limemkosa linaemtafuta halafu linarudi kukuuliza fulani yuko wapi?
Au limekwama huko limepotea njia ndio linajirudisha kuomba msaada ulielekeze.
Jitu linakuja linakukuta may be upo kwa mtu linaemtafuta, bahati mbaya katoka kidogo umebaki wewe. Halisalimii linafikia kumuangaza mhusika linamkosa, linarudi kukuuliza fulani yuko wapi.. Unagongwa nini? 😡😡😡
Sijajua nyie reaction yenu huwa ikoje, ila mimi sitakagi ujinga. Ukinikuta mazingira fulani ukaacha kutoa salamu hakikisha hautahitaji msaada kwangu. Naweza nikakushushia vinu (matusi) hujawahi kutana navyo. Huwa natafsiri ni kama dharau.
Salamu hufanya hata mtu kuwa mkarimu kwako pale unapohitaji msaada wa jambo fulani, utakuwa umeonyesha uungwana. Ila uje race tu kama vile unayapita mawe, utakubali.
Sawa, ila jamiiiforums sio Tanzania tu, members wapo sehemu mbalimbali ya Dunia.Ni swala la utamaduni tu, huku sio Oxford street ni umatumbini. Mtu akizingua anakula kubwa tu.
Wanaopenda kusalimiasalimia ni wale madereva wanaoendesha magari mabovu.Wakuu salama?
Kuna watu ni wa ajabu sana. Sijui wanajikutaga akina nani vile. Unakuta jitu limekuja sehemu aidha dukani au popote pale, limekukuta likakupita tu. Limemkosa linaemtafuta halafu linarudi kukuuliza fulani yuko wapi?
Au limekwama huko limepotea njia ndio linajirudisha kuomba msaada ulielekeze.
Jitu linakuja linakukuta may be upo kwa mtu linaemtafuta, bahati mbaya katoka kidogo umebaki wewe. Halisalimii linafikia kumuangaza mhusika linamkosa, linarudi kukuuliza fulani yuko wapi.. Unagongwa nini? 😡😡😡
Sijajua nyie reaction yenu huwa ikoje, ila mimi sitakagi ujinga. Ukinikuta mazingira fulani ukaacha kutoa salamu hakikisha hautahitaji msaada kwangu. Naweza nikakushushia vinu (matusi) hujawahi kutana navyo. Huwa natafsiri ni kama dharau.
Salamu hufanya hata mtu kuwa mkarimu kwako pale unapohitaji msaada wa jambo fulani, utakuwa umeonyesha uungwana. Ila uje race tu kama vile unayapita mawe, utakubali.
Ishara za ufukara hizi.Wakuu salama?

Naunga mkono hojaPole mkuu. Inaonekana upo idle sana, ukiwa busy hata mtu akikupita haumuoni.
Tafuta hela,uache mawazo ya kijinga kama haya.Mtu akikupita halafu akakuuliza mchaji kwa hiyo Service kama hana pesa mwambie apite kushoto.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wanaopenda kusalimiasalimia ni wale madereva wanaoendesha magari mabovu.
Likimzimikia wamsaidie kusukuma.
Ajabu sana jitu kuanzisha uzi kwasababu halisalimiwiWakuu salama?
Kuna watu ni wa ajabu sana. Sijui wanajikutaga akina nani vile. Unakuta jitu limekuja sehemu aidha dukani au popote pale, limekukuta likakupita tu. Limemkosa linaemtafuta halafu linarudi kukuuliza fulani yuko wapi?
Au limekwama huko limepotea njia ndio linajirudisha kuomba msaada ulielekeze.
Jitu linakuja linakukuta may be upo kwa mtu linaemtafuta, bahati mbaya katoka kidogo umebaki wewe. Halisalimii linafikia kumuangaza mhusika linamkosa, linarudi kukuuliza fulani yuko wapi.. Unagongwa nini? 😡😡😡
Sijajua nyie reaction yenu huwa ikoje, ila mimi sitakagi ujinga. Ukinikuta mazingira fulani ukaacha kutoa salamu hakikisha hautahitaji msaada kwangu. Naweza nikakushushia vinu (matusi) hujawahi kutana navyo. Huwa natafsiri ni kama dharau.
Salamu hufanya hata mtu kuwa mkarimu kwako pale unapohitaji msaada wa jambo fulani, utakuwa umeonyesha uungwana. Ila uje race tu kama vile unayapita mawe, utakubali.
Kukupita bila salamu kuna mengi huenda ni nawazo aliyonayo au ndio hiyo dharau, upande wangu Mimi ukinipita naangalia uko vipi Kama ni dharau nitajua na kama ni bahati mbaya pia nitajua, wa dharau simjibu nitamuangalia tu amalize maneno yake yote Mimi kimya ila huyu mwingine nitamsaidia.Wakuu salama?
Kuna watu ni wa ajabu sana. Sijui wanajikutaga akina nani vile. Unakuta jitu limekuja sehemu aidha dukani au popote pale, limekukuta likakupita tu. Limemkosa linaemtafuta halafu linarudi kukuuliza fulani yuko wapi?
Au limekwama huko limepotea njia ndio linajirudisha kuomba msaada ulielekeze.
Jitu linakuja linakukuta may be upo kwa mtu linaemtafuta, bahati mbaya katoka kidogo umebaki wewe. Halisalimii linafikia kumuangaza mhusika linamkosa, linarudi kukuuliza fulani yuko wapi.. Unagongwa nini? [emoji35][emoji35][emoji35]
Sijajua nyie reaction yenu huwa ikoje, ila mimi sitakagi ujinga. Ukinikuta mazingira fulani ukaacha kutoa salamu hakikisha hautahitaji msaada kwangu. Naweza nikakushushia vinu (matusi) hujawahi kutana navyo. Huwa natafsiri ni kama dharau.
Salamu hufanya hata mtu kuwa mkarimu kwako pale unapohitaji msaada wa jambo fulani, utakuwa umeonyesha uungwana. Ila uje race tu kama vile unayapita mawe, utakubali.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kawaida tu mkuu,.
Ila ngoja nijifunze kusalimia maana huyo ni mimi kabisa,,. Uzuri huwa siulizagi nikipotea au nikimkosa naye mtafuta huwa narudi tu nlikotoka kimyakimya
Kweli kabisa imeshanitokea nilikuwa mbali ki mawazo nastuka hakuna njia nikarudi nikaomba samahani akanielewausimaindi sana muelekeze tu ,hiyo situation hata wewe inawazekana kukutokea.
Kwa sisi tusio penda kusalimiwa hatuna shida yoyote na huyo mtu ...tatizo ni huyo mtu afanye hivyo kwa nyinyi mitoto mipumbavu mnaosemaga BORA UNITUKANIE BABA YANGU KULIKO MAMA YANGU hapo itakuwa shida maana mnatabia za kikekike ...ndiyo maana ni rahisi kugeuzwa mashoga maana mwapenda sana salamu nyie ...mwapenda salamu kama wazanzibar 😁😁😁😁 utasikia Yahee mbona wanipita tu weyee kama nyuma ujaniona weyeee...Wakuu salama?
Kuna watu ni wa ajabu sana. Sijui wanajikutaga akina nani vile. Unakuta jitu limekuja sehemu aidha dukani au popote pale, limekukuta likakupita tu. Limemkosa linaemtafuta halafu linarudi kukuuliza fulani yuko wapi?
Au limekwama huko limepotea njia ndio linajirudisha kuomba msaada ulielekeze.
Jitu linakuja linakukuta may be upo kwa mtu linaemtafuta, bahati mbaya katoka kidogo umebaki wewe. Halisalimii linafikia kumuangaza mhusika linamkosa, linarudi kukuuliza fulani yuko wapi.. Unagongwa nini? 😡😡😡
Sijajua nyie reaction yenu huwa ikoje, ila mimi sitakagi ujinga. Ukinikuta mazingira fulani ukaacha kutoa salamu hakikisha hautahitaji msaada kwangu. Naweza nikakushushia vinu (matusi) hujawahi kutana navyo. Huwa natafsiri ni kama dharau.
Salamu hufanya hata mtu kuwa mkarimu kwako pale unapohitaji msaada wa jambo fulani, utakuwa umeonyesha uungwana. Ila uje race tu kama vile unayapita mawe, utakubali.
Hata mimi nikimkosa niliyemfuata na sikusalimia nliokuwata huwa nasepa taratibu. Najua Wahafidhina wanakuwa wako standby nijichanganye niulize wanipe za uso.Kawaida tu mkuu,.