Unakuja unanipita hujanisalimia, unakwama halafu unataka nikusaidie

Unakuja unanipita hujanisalimia, unakwama halafu unataka nikusaidie

Hii kuna dada mmoja tunafanya nae kazi, juzi kati asubuhi napiga hamza Kanoon kwenda kusaka usafiri akanipita race halafu mbele kidogo nikakuta ameingia mtaroni. Anajifanya kunisalimia, namimi kama zali boda ikapita nikasimamisha nikadandia nikasepa zangu
La mentali mkuu
 
Inaonyesha Unatembea Bila Kichwa,We Umeingia Ofisini Kuna Mtu Ndani Ya Hiyo Ulivyoingia Ndani Umemkuta Mtu Mwengine Tofauti Na Uliyemkusudia Kwa Hiyo Wewe Na Akili Yako Mbovu Unataka Uliyemkuta Ndo Aanze Kukusalimia? Au Utakurupuka Tu Kuuliza Kama Mwehu?NB:UKIJIONA UNA TABIA YA KUTOKUSALIMIA JUWA KWAMBA GOROFANI KUNA TATIZO.
Hamna kichwa hapo, ni shingi tu zimevimba kwa juu mkuu
 
Kumbe Salam ni muhimu' Ivo kana kwamba usipomsalimia mtu usiombe msaada utaambulia matusi
 
Unaweza Ukakuta Una Genge La Nyanya Ila Unajitia Una Fanya Kazi Na Wageni Ili Tu Utongoze Madem Wa Jf.

Kisa Mmeambiwa Tafuta Hela.
Nafanya kazi na watu wa mataifa haya
AUSTRALIA
CANADA
INDONESA
EGYPT
CHINA
INDIA
MALI
GHANA
ZIMBABWE
MALAWI
RWANDA
BURKINAFASO
IVORYCOST
Na mataifa mengine.
 
Back
Top Bottom