Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
- Thread starter
- #61
Naye asipoeleza shida zake atapungukiwa niniUsiposalimiwa unapungukiwa na nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naye asipoeleza shida zake atapungukiwa niniUsiposalimiwa unapungukiwa na nini?
Haya yanayoona ni sawa ndio yasiyosalimia watu.Ilinitokea hii 😅😅🙌🏼nilienda kwa rafiki yangu na tulikuwa tumetoka kuwasiliana muda mchache tu, akaniambia yupo.
Mimi na kiherehere changu nikapitiliza bila kusalimia ile nafungua mlango umefungwa Kumbe katoka kidogo 😜😅😅😅nilipata aibu ya kimataifa.
Nilijifunza siku nyingine nitasalimia nipate msaada.
Ni muhimu sana kusalimia watuHaya yanayoona ni sawa ndio yasiyosalimia watu.
Unaona hata kauli zako, kwa akili yako unadhani nitakujibu ovyo kama ilivoandika...sichumi dhambi bila sababuUnaota wewe, amka utakunya kitandani
Sawa mwema.Unaona hata kauli zako, kwa akili yako unadhani nitakujibu ovyo kama ilivoandika...sichumi dhambi bila sababu
Kwa Hiyo Tuanze Na Mipango Ya Kuoana Kama Oxford Street?Ni kweli kabisa, nenda kule Oxford Street jijini London, watu wapo bize sana halafu msalimie mtu lazima utatukanwa au utaonekana omba omba au kibaka.
Alafu Kwa Race Zako Inaonyesha Mpaka Sasa Umepanga Tena Unalala Na Ndoo Za Maji Humo humo Watu Wa Dizaini Yako Huwa Mnaishi Maisha Ya Shida Mwanzo Mpaka Mwisho Wenu.Mkuu mjini mambo mengi muda mchache...... vitu ni vigumu kama ukitaka viwe vigumu.
Kwamba wewe ukitoka nyumbani kwako kila unayekutana naye popote pale unatoa salamu?...... aisee si utawehuka?
Na huo muda wa kuanza kukariri ni stranger gani hajanisalimia ili uje kum mind akikuuliza unautoa wapi mkuu?
Take it easy
Hizi ni ATHARI za UJIMA(ujamaa) nilikutana nazo sana nilipokwenda kijijini maana kijijini watu wote ni kama ndugu wanajuana wote so salamu ni LAZIMA
Usiposalimia unawekewa vikao kabisa na mwenyekiti.
Mjini watu wako race mkuu.
Waumini Wa Dini Ya Kiislamu Tumepewa Maelekezo Ya Kwamba ,Ikiwa Uko Kwenye Usafiri Wako Njiani Ukakutana Watu/Mtu Inakubidi Usimame Umsalimie Mwenda Kwa Miguu Ndipo Uendelee Na Safari.KIONNGOZI; Mtu anakupita zake na boda, Bajaji au hata gari anapotea anarudi kukuuliza; Ulitaka akipita asimame akusalimia ndio apite?
Saidia watu kama unaweza maisha yamebadilika......
We Za Kwako Ziko Wapi?Tafuta hela,uache mawazo ya kijinga kama haya.
Why are you obsessed with sexuality? Uzi unazungumzia kusalimiana.Kwa Hiyo Tuanze Na Mipango Ya Kuoana Kama Oxford Street?
Unaweza Ukakuta Una Genge La Nyanya Ila Unajitia Una Fanya Kazi Na Wageni Ili Tu Utongoze Madem Wa Jf.Na uhakika mkuu hujawahi ishi na mataifa tofauti na Tanzania hii kasumba ya salamu ni ya hapa Tz tu sema ni nzuri wengi huwa wakija wanauliza hivi huku ukiacha kusalimia unaweza adhibiwa? Mimi nimefanya kazi na watu tofauti tofauti sana kwa kipindi cha miaka6 sasa lakini salam sio kipaumbele kabisa mnaweza maliza mwezi hamjawahi hata kupeana Hi na mkikutana site kazi kazi na story zikibidi kama kawaida.Nimezoea hili japo mwanzo nilipata shida sana lakini wenzetu hawajari.Tembea tembea uone.
Achana Na Huyo Mwanamke Atakutia Uchizi Maana Hii Komenti Inakuonyesha Jinsi Unavyoteswa Na Streess.Kwa sisi tusio penda kusalimiwa hatuna shida yoyote na huyo mtu ...tatizo ni huyo mtu afanye hivyo kwa nyinyi mitoto mipumbavu mnaosemaga BORA UNITUKANIE BABA YANGU KULIKO MAMA YANGU hapo itakuwa shida maana mnatabia za kikekike ...ndiyo maana ni rahisi kugeuzwa mashoga maana mwapenda sana salamu nyie ...mwapenda salamu kama wazanzibar 😁😁😁😁 utasikia Yahee mbona wanipita tu weyee kama nyuma ujaniona weyeee...
Hii kuna dada mmoja tunafanya nae kazi, juzi kati asubuhi napiga hamza Kanoon kwenda kusaka usafiri akanipita race halafu mbele kidogo nikakuta ameingia mtaroni. Anajifanya kunisalimia, namimi kama zali boda ikapita nikasimamisha nikadandia nikasepa zanguWakuu salama?
Kuna watu ni wa ajabu sana. Sijui wanajikutaga akina nani vile. Unakuta jitu limekuja sehemu aidha dukani au popote pale, limekukuta linakukaushia tu. Limemkosa mhusika halafu linakuja kukuuliza fulani yuko wapi?
Au limekwama huko limepotea njia halafu linakuja kukuuliza sehemu fulani wapi, bila hata salamu
Jitu linakuja linakukuta may be upo kwa mtu linaemtafuta, bahati mbaya katoka kidogo umebaki wewe. Halisalimii linafikia kumuangaza mhusika linamkosa, linarudi kukuuliza fulani yuko wapi.. Unagongwa nini? 😡😡😡
Sijajua nyie reaction yenu huwa ikoje, ila mimi sitakagi ujinga. Ukinikuta mazingira fulani ukaacha kutoa salamu hakikisha hautahitaji msaada kwangu. Naweza nikakushushia vinu (matusi) hujawahi kutana navyo. Huwa natafsiri ni kama dharau.
Salamu hufanya hata mtu kuwa mkarimu kwako pale unapohitaji msaada wa jambo fulani, utakuwa umeonyesha uungwana. Ila uje race tu kama vile unayapita mawe, utakubali.
Mkuu you went straight into attack mode.Alafu Kwa Race Zako Inaonyesha Mpaka Sasa Umepanga Tena Unalala Na Ndoo Za Maji Humo humo Watu Wa Dizaini Yako Huwa Mnaishi Maisha Ya Shida Mwanzo Mpaka Mwisho Wenu.
Inaonyesha Unatembea Bila Kichwa,We Umeingia Ofisini Kuna Mtu Ndani Ya Hiyo Ulivyoingia Ndani Umemkuta Mtu Mwengine Tofauti Na Uliyemkusudia Kwa Hiyo Wewe Na Akili Yako Mbovu Unataka Uliyemkuta Ndo Aanze Kukusalimia? Au Utakurupuka Tu Kuuliza Kama Mwehu?NB:UKIJIONA UNA TABIA YA KUTOKUSALIMIA JUWA KWAMBA GOROFANI KUNA TATIZO.Tumia akili wewe mpumbavu kwani kusalimia kuna kanuni ya nani aanze au nikupe visa vyangu binafsi nikuonyeshe upumbavu wenu nyinyi mnao lilia salamu ...kwanza mjue kuna tofauti ya kutokusalimiana na kuto kuitikia salamu ...wewe hapo kama umekutana na mtu ajakusalimia basi wewe ulishindwa nini kumsalimia yeye kwanza ? Mngekuwa mnalahumu mtu kutokuitikia salamu sawa ....sikumoja nilikuwa natembea nikakutana na jamaa akaniambia mbona usalimii nikamjibu kuwa mbona na yeye asalimii ...kisha nikamuuliza kwani kusalimiq ni lazima mimi nianze?...hivyo huyo aliye kupita bila ya kusalimia na wewe ukumsalimia basi nyinyi amkusalimiana hakuna mwenye haki la kumlaumu mwingine. Jobless_Billionaire
HATA KAMA NDIO PESA HAINA AKILI ILA HAIWEZI KUJA KWAKO.Maskini mnapenda sana kusalimiwa
Ghorofa Lako Lina Nyufa Punde Litakuwa Kama La K/koo.Upo sahihi kabisa mtoa Mada ana akili kama ya mzee