Yaheee hao wajinga sana haoo ...yaani wakupita tu weyeee kama π₯nyuma ππ₯ awajakuona weyeee...yeyeee wanunie tu ππππππππππππππππππππππππHujaelewa
Na wanavyokiwaga makini kukuskilizia kama utaulizaππ,.Hata mimi nikimkosa niliyemfuata na sikusalimia nliokuwata huwa nasepa taratibu. Najua Wahafidhina wanakuwa wako standby nijichanganye niulize wanipe za uso.
"Mbongo anamaindi mambo madogo"
Darassa - Too Nuch
Yeah,japo wengi ni kiburi tuusimaindi sana muelekeze tu ,hiyo situation hata wewe inawazekana kukutokea.
Kuswahili hiki!!!Ukiandika matusi ujue hauna lugha ya fikra, kama kumi huikumbuki hauna lugha ya tisa.... Nyenza
Sasa hapa ni London?
Daah! Tunao mtaani huku. Kitongoji kimoja lkn ustaarabu 'F' mbaya zaidi tunakutana mambo ya kijamii e.g msiba, sherehe n.k matokeo yake ni kutazamana tu. Wanawake wachache wakikukuta watakusalimia wengine sielewi huwa wana mtazamo gani.Mara nyingi ni wanawake ndo walio na hiyo tabia
Najua mtoa mada amemind kwa sababu amepona mwanamke huyo ni kama amemdharau hivi
Me mtu wa hivo HUWA simjibu ntabaki namuangalia tu afu nasepa zanguu
HAA!! ππTafuta hela,uache mawazo ya kijinga kama haya.
ChaiHAA!! ππ
Nitafute hela mpaka zifike wapi mkuu ili nisiwe na haya mawazo?
Binafsi sina matatizo ya kifedha lakini linapokuja suala la Heshima sipendi dharau!!
FactPole mkuu. Inaonekana upo idle sana, ukiwa busy hata mtu akikupita haumuoni.
Wakuu salama?
Kuna watu ni wa ajabu sana. Sijui wanajikutaga akina nani vile. Unakuta jitu limekuja sehemu aidha dukani au popote pale, limekukuta likakupita tu. Limemkosa linaemtafuta halafu linarudi kukuuliza fulani yuko wapi?
Au limekwama huko limepotea njia ndio linajirudisha kuomba msaada ulielekeze.
Jitu linakuja linakukuta may be upo kwa mtu linaemtafuta, bahati mbaya katoka kidogo umebaki wewe. Halisalimii linafikia kumuangaza mhusika linamkosa, linarudi kukuuliza fulani yuko wapi.. Unagongwa nini? π‘π‘π‘
Sijajua nyie reaction yenu huwa ikoje, ila mimi sitakagi ujinga. Ukinikuta mazingira fulani ukaacha kutoa salamu hakikisha hautahitaji msaada kwangu. Naweza nikakushushia vinu (matusi) hujawahi kutana navyo. Huwa natafsiri ni kama dharau.
Salamu hufanya hata mtu kuwa mkarimu kwako pale unapohitaji msaada wa jambo fulani, utakuwa umeonyesha uungwana. Ila uje race tu kama vile unayapita mawe, utakubali.
Sawa tajiriMaskini mnapenda sana kusalimiwa
Yah, Mimi nimeona hilo,mnakaa hata apartment moja na hamjawai hata salimiana ,kila mtu na lake,na sio ukitaka umuulize kitu ata refer kuwa ,"mbona huwa usalimii".
Upo sahihi kabisa mtoa Mada ana akili kama ya mzeePole mkuu. Inaonekana upo idle sana, ukiwa busy hata mtu akikupita haumuoni.
Mtoa Mada atakuwa anaishi mkoani na amekulia kijijiniMkuu mjini mambo mengi muda mchache...... vitu ni vigumu kama ukitaka viwe vigumu.
Kwamba wewe ukitoka nyumbani kwako kila unayekutana naye popote pale unatoa salamu?...... aisee si utawehuka?
Na huo muda wa kuanza kukariri ni stranger gani hajanisalimia ili uje kum mind akikuuliza unautoa wapi mkuu?
Take it easy
Hizi ni ATHARI za UJIMA(ujamaa) nilikutana nazo sana nilipokwenda kijijini maana kijijini watu wote ni kama ndugu wanajuana wote so salamu ni LAZIMA
Usiposalimia unawekewa vikao kabisa na mwenyekiti.
Mjini watu wako race mkuu.
Mkuu huenda sijaeleweka vyema. Nilichomaanisha ni kwamba, may be nilikuja kwako kama mgeni. Labda tumekaa nje kidogo ukatoka nikabaki mwenyewe. Kaja mtu anaekufahamu, kanipita nje kapitiliza kukuita. Baada ya kuona harespond ndio arudi kwangu aniulize. Kibaya zaidi bila kusalimia tena. This is what I intended to mean na sio wapita njia. Sio issue kwangu hao sababu you can't consider everyone.KIONNGOZI; Mtu anakupita zake na boda, Bajaji au hata gari anapotea anarudi kukuuliza; Ulitaka akipita asimame akusalimia ndio apite?
Saidia watu kama unaweza maisha yamebadilika......
UnahisiMtoa Mada atakuwa anaishi mkoani na amekulia kijijini
Msamehe tu mtoa mada,anaonekana kakaa sana eneo moja.Usiposalimiwa unapungukiwa na nini?
Unaota wewe, amka utakunya kitandaniMsamehe tu mtoa mada,anaonekana kakaa sana eneo moja.