Unakuja unanipita hujanisalimia, unakwama halafu unataka nikusaidie

Haya yanayoona ni sawa ndio yasiyosalimia watu.
 
Ni kweli kabisa, nenda kule Oxford Street jijini London, watu wapo bize sana halafu msalimie mtu lazima utatukanwa au utaonekana omba omba au kibaka.
Kwa Hiyo Tuanze Na Mipango Ya Kuoana Kama Oxford Street?
 
Alafu Kwa Race Zako Inaonyesha Mpaka Sasa Umepanga Tena Unalala Na Ndoo Za Maji Humo humo Watu Wa Dizaini Yako Huwa Mnaishi Maisha Ya Shida Mwanzo Mpaka Mwisho Wenu.
 
KIONNGOZI; Mtu anakupita zake na boda, Bajaji au hata gari anapotea anarudi kukuuliza; Ulitaka akipita asimame akusalimia ndio apite?
Saidia watu kama unaweza maisha yamebadilika......
Waumini Wa Dini Ya Kiislamu Tumepewa Maelekezo Ya Kwamba ,Ikiwa Uko Kwenye Usafiri Wako Njiani Ukakutana Watu/Mtu Inakubidi Usimame Umsalimie Mwenda Kwa Miguu Ndipo Uendelee Na Safari.
 
Reactions: M45
Mkuu naelewa unayosema,hata kama mtu haji kukuulizia,ni vema a
mkikutana na mwingine mnaefahamiana msalimiane,hii haina maana kwamba huna kazi ya kufanya,inaonyesha kujali na kutambua uwepo wa mtu mwingine,Mimi nilikuwa naacha kumsalimia mtu ambae hanisalimii,nikajakugundua kumbe wale ambao wanafanya vitendo kama hivyo wanaongozwa na roho hafifu,wana strees na uchungu wa maisha hivyo wanafikiri wasipokusalimia na wewe utakuwa na uchungu kama wao ili mfanane,lakini ukiwasalimia wewe wanaitika na kujiona wana dhamani,lakini ukikaa kimya utawaona jinsi walivyonuna kisa hujawasalimia. Salamu kama haiendani na matendo ya muhusika hiyo siyo salamu ni unafiq,hakikisha mtu anaekusalimia anamaanisha na siyo kusalimia kutokea mbali ili aonekane.
 
Unaweza Ukakuta Una Genge La Nyanya Ila Unajitia Una Fanya Kazi Na Wageni Ili Tu Utongoze Madem Wa Jf.

Kisa Mmeambiwa Tafuta Hela.
 
Achana Na Huyo Mwanamke Atakutia Uchizi Maana Hii Komenti Inakuonyesha Jinsi Unavyoteswa Na Streess.
 
Hii kuna dada mmoja tunafanya nae kazi, juzi kati asubuhi napiga hamza Kanoon kwenda kusaka usafiri akanipita race halafu mbele kidogo nikakuta ameingia mtaroni. Anajifanya kunisalimia, namimi kama zali boda ikapita nikasimamisha nikadandia nikasepa zangu
 
Alafu Kwa Race Zako Inaonyesha Mpaka Sasa Umepanga Tena Unalala Na Ndoo Za Maji Humo humo Watu Wa Dizaini Yako Huwa Mnaishi Maisha Ya Shida Mwanzo Mpaka Mwisho Wenu.
Mkuu you went straight into attack mode.
Status yangu ya uchumi imeingiaje hapa?

Am very very sorry if by any means my comment offended you

Next time jifunze kushambulia HOJA na sio kumshambulia mtoa hoja

πŸ™πŸ™πŸ™
 
Inaonyesha Unatembea Bila Kichwa,We Umeingia Ofisini Kuna Mtu Ndani Ya Hiyo Ulivyoingia Ndani Umemkuta Mtu Mwengine Tofauti Na Uliyemkusudia Kwa Hiyo Wewe Na Akili Yako Mbovu Unataka Uliyemkuta Ndo Aanze Kukusalimia? Au Utakurupuka Tu Kuuliza Kama Mwehu?NB:UKIJIONA UNA TABIA YA KUTOKUSALIMIA JUWA KWAMBA GOROFANI KUNA TATIZO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…