Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
- #101
Mkuu muhindi mzima kuumaliza shughuli, mahindi mengi ya Dar huwa yanakaa mda mrefu hadi radha inaisha kabisa na unakuwa mgumu kwa kukaa mda mrefu ndo maana muhindi unaungwa na chumvi,pilipili na ndimu. Sasa ukinunua muhindi mzima utatafuna hadi taya ziume kwa ugumu wake.😁😁😁 Sehem nyingine unavunja muhindi na kuuweka jikoni kabisa.
Waambie hao wanaochoma mahindi machanga, unga ukipanda bei wasilalamike; na wewe mkuu unachangia kutokea kwa uhaba wa unga siku za mbeleni.