Unakula nini/unakunywa nini huku ukiwa unabarizi hapa JF?

Waambie hao wanaochoma mahindi machanga, unga ukipanda bei wasilalamike; na wewe mkuu unachangia kutokea kwa uhaba wa unga siku za mbeleni.​
 
Waambie hao wanaochoma mahindi machanga, unga ukipanda bei wasilalamike; na wewe mkuu unachangia kutokea kwa uhaba wa unga siku za mbeleni.​
Mkuu mimi mlaji wa mwisho ndo napewa lawama tena๐Ÿ˜„. Au ndo ile bila mteja biashara inajifia yenyewe kwa hiyo mimi ndo nabeba lawama kuliko wale waliopanda,kuvuna,kununua,kusafirisha, kuchoma na kuyauza mjini๐Ÿ˜€Hapa umasikini ndo shida ya kwanza, watu wanayavuna mabichi wapate pesa yakuendesha maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ