Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Siku hao wakionja hawata acha.Yani mtu anaishi na akili yake yenye ukichaa bila busara za pombe 24hrs kwa miaka zaidi ya 60 halafu anakufa tu🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hao wakionja hawata acha.Yani mtu anaishi na akili yake yenye ukichaa bila busara za pombe 24hrs kwa miaka zaidi ya 60 halafu anakufa tu🤣🤣
🤣🤣 kwa nini mkuu wanguWee jamaa nikiona comment zako huwa na screenshot alafu na print...
Mara nyingi huwa nabandika humu gheto mkuu 😂😂😂😂🙌🙌
Yaan,Watu ambao hawanywi pombe hata humu duniani sijui wamekuja kufanya nini🤔
Tena wanakuaga walevi wale wakuimba barabara nzima🤣🤣🤣Siku hao wakionja hawata acha.
Wewe ni mtu na heshima zako humu..🤣🤣 kwa nini mkuu wangu
Sema wanajifunza wale waliokua walevi ,ndio maana wana laani🤣Yaan,
Vilevi vikitumika vizuri husisimua akili na kumfanya mtu kua very Wise & vice versa is True.
NB.
Kama mtu yeyote hajawai kutumia kilevi chochote Basi huyo mtu atahesabika hajawai KUISHI.
Hahahaha , maisha yafaa nini bila kileo🤣Wewe ni mtu na heshima zako humu..
Huwa una comment zenye hamasa sana kwa sisi vijana mkuu 😂😂😂😂🙌🙌🙌
Well said.Unawasha Yatch yako unakwenda Mombasa weekend, Tanga au hata Zanzibar unaota jua, ukiwa na muda unajisogeza Durban, Madagascar, Mauritus au unapiga ndefu Dubai.
Unawasha Gari lako ijumaa unabeba baiskeli yako unasogea miji yenye bahari, gari unapark hotel unatalii mji na baiskeli yako jioni unakwenda baharini unaogelea unasoma kitabu mchangani.
Ukiwa na familia inapendeza zaidi, baba, mama, na watoto mnapiga pedal tu.
Hela ya hizo bia na kuhonga Malaya, nauli ya bus kwenda kutalii mbuga za karibu na ulipo na hata kufanya hunting ya swala, nk.
Starehe ziko nyingi mkuu, ila ukiwa na good wife, strong and intelligent, unasharp kids umri wa kuanzia 5 - 14, uwe hata na wanne, yatching or boating au safari yeyote ni starehe kuliko hizo za makelele.
Be honourable.
Bikra 72 au siyoAcha kutusimanga tulio-busy kuitafuta Pepo
Hatuna mademu, hatuli beer, Wala kula Kitimoto
Na bia zako 3 😊Naenda kusikiliza live band
Ni wa kuwaepuka, make ukilewa ndo wanakupiga picha na kupost, ndo wanakusachi......Watu ambao hawanywi pombe hata humu duniani sijui wamekuja kufanya nini🤔
Bata hili hapa sasa, contentmentUnawasha Yatch yako unakwenda Mombasa weekend, Tanga au hata Zanzibar unaota jua, ukiwa na muda unajisogeza Durban, Madagascar, Mauritus au unapiga ndefu Dubai.
Unawasha Gari lako ijumaa unabeba baiskeli yako unasogea miji yenye bahari, gari unapark hotel unatalii mji na baiskeli yako jioni unakwenda baharini unaogelea unasoma kitabu mchangani.
Ukiwa na familia inapendeza zaidi, baba, mama, na watoto mnapiga pedal tu.
Hela ya hizo bia na kuhonga Malaya, nauli ya bus kwenda kutalii mbuga za karibu na ulipo na hata kufanya hunting ya swala, nk.
Starehe ziko nyingi mkuu, ila ukiwa na good wife, strong and intelligent, unasharp kids umri wa kuanzia 5 - 14, uwe hata na wanne, yatching or boating au safari yeyote ni starehe kuliko hizo za makelele.
Be honourable.
Na bia zako 3 😊