Unakumbuka chata gani ukiwa sekondari!? Nakumbuka hizi!

Unakumbuka chata gani ukiwa sekondari!? Nakumbuka hizi!

Akumbukwe.......hii ndio undisputed signature kwenye Kila shule
Huyo alikuwa mwamba elchapo wa shule...lazima LY chata lianze na "akumbukwe" au "remember" kv "remember kidiru"

Huyu mwamba kidiru alikuwa na unywele kipilipili na ndumu kwa sana hafu peace sana ila adui mkubwa kwake alikuwa ticha na darasa
 
Nilitumia chata ya "blue_skies"🤣

Kulikuwa na majina ya ajabu sana kama "boy friend", "ice kid", "posh kid", "licit arch" nk.

Mkimaliza mnaaandika ukutani kwamba "flani flani was once here, grey nation 2017-2020"
hatari sana. hapo majina mnachukua kwenye vibanda umiza vya video
 
Mzuksi, RESP K, Dr. Lali, Sister Lymo, KIBONGE, Chris genius, Shaban Mabangi, Arusha mob, Mughanga classic, Jay one, Mrosso the disc. master,
 
1. Eagleboy
2. Mkemia mkuu
3. Nyeusi Jr
4. BVB04 Don't Move
5. Southern Vampire
6. YNWA Kijogoo
7. Kitoko zeDon
8. Kilonzo Jr
9. Sauti ya Zege
10. Ibra Abrakadabra
 
Dj Kundula
Simple G
Mc Mo
G Kubwa
Mtoto mzuri mbaya Kwa Mungu
Gwax boy
Kindizi
Mzee wa manyoni
Ras Omega
Mtambo
Pumbu si mzigo etc...
 
wazee wa duble (kupanga zamu mara 2 kwenye chai)
Kawaida sana Kiranja wa zamu sisi wakuitwa 'Mtopu' alikuwa na wagambo kwenye kila meza hakuna kupanga foleni mara 2 2. Walikuwa wanaweka doria kwenye kila mstari wakiwa wameshika boonge moja la rungu. Sasa we jichanganye tu wanavunja kiuno, na walivyokuwa wapenda sifa.
 
Mzuksi, RESP K, Dr. Lali, Sister Lymo, KIBONGE, Chris genius, Shaban Mabangi, Arusha mob, Mughanga classic, Jay one, Mrosso the disc. master,
huyu shabani alikuwa anayapuliza sana haikosi
 
1.Makaveli
2.Nyale striker
3.D poison
4.Bruce Lee
5.Walaloo
6.Sokomoko
7.Father wile
8.Pablo
9.Fuvu aka sobuza
10.Nigger j(Prof J wa leo)
11.panga mawe
12.joka
13.Edo kumwembe
14.Sogoja
15.I don't know whom one rasta.
16.Baba Tau
17.Kamanda
18.Net1
19.Aideed
 
Back
Top Bottom