Huyo alikuwa mwamba elchapo wa shule...lazima LY chata lianze na "akumbukwe" au "remember" kv "remember kidiru"Akumbukwe.......hii ndio undisputed signature kwenye Kila shule
hatari sana. hapo majina mnachukua kwenye vibanda umiza vya videoNilitumia chata ya "blue_skies"🤣
Kulikuwa na majina ya ajabu sana kama "boy friend", "ice kid", "posh kid", "licit arch" nk.
Mkimaliza mnaaandika ukutani kwamba "flani flani was once here, grey nation 2017-2020"
Labda wapo wengi, huyu alikua Kikaro Sec School, Chalinzeissa ngunga Studied at Umoja sec school
Kawaida sana Kiranja wa zamu sisi wakuitwa 'Mtopu' alikuwa na wagambo kwenye kila meza hakuna kupanga foleni mara 2 2. Walikuwa wanaweka doria kwenye kila mstari wakiwa wameshika boonge moja la rungu. Sasa we jichanganye tu wanavunja kiuno, na walivyokuwa wapenda sifa.wazee wa duble (kupanga zamu mara 2 kwenye chai)