Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Ndiyo ni mwizi wa guest house za kaloleni na maeneo mengi ya starehe.Wakati
Wakati unapoielezea kikosi kwa mtazamo hasi kumbuka pia hata huyo Lord Eyes wako ni mwizi mzoefu na alishakamatwa na polisi Arusha kwa kuwaibia wazungu Laptops zao na camera. Usidhani watu hatujui chief.
Hakuna aliyepotosha, umeambiwa vizuri tu umeamua kupindisha, hao kikosi wakiwa na umaarufu wao wamekutana na N2N na wao wakiwa na umaarufu wao.N2N waliwakuta KIKOSI tayari wanavuma. Mkuu watu wanapenda kupotosha wakidhani sis movement hatuzijui
Hebu weka list hapa ya waliosaidiwa na Pinna wakawa maarufu.Pinna ni MC aliyewasaidia artist wengi sana ila watu wakishakuwa maarufu wanaanza kuota pembe. Hilo ndo tatizo tulilonalo asilimia kubwa ya vijana wa Kibongo. Angalia sasa hivi anahangaika na mateja sobber house nani ambaye hata anasapoti movement kama hizi?
Kipindi Kala Pina na Kikosi chake cha mizinga wakiwa kwenye peak Diamond na baunsa wake hawakuwa wanajulikana kbsAliwah Mpiga Baunsa wa Diamond
Mpinzani mwenyewe alikuwa MCHUMIA TUMBOHahah ndio mpinzani hakutokea ulingoni
Mwenye, kuelewa anisaidie jamanikalapina ...Uwa azingui ...siku ile alipomjaza ngumi chid Benz ...sialikuwa anapiga show moja pale dar sijui ilikuwa ukumbi gani ..itakuwa ilikuwa dar live au maisha club ...sasa Chid alivamia show ya Pina akachukua maiki huku alikuwa amelewa balaa...akaanza kuimba..mambo ayaeleweki na matusi sasa pina alivyomwambia aludishe maiki Chid akagoma ...ndipo hapo alipochezea kichapo...heavy.
Ila sahv kalipina naona game kaliacha ..ameamuwa Kuhost kipind flan Clouds tv kinaitwa Alakati.
Hii collabo ya Cowboy na Kiroboto niliipenda, ingawa sikujua kwamba wamemjibu Kala Pina. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji331] [emoji331] [emoji331] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]Juma Nature alimjibu kwenye track iitwayo msela ambayo walipiga kolabo na ngwea na Kaka Rashid ( kr ) " Maisha ya kisela sio sawa na usela mavi kunya wazi wazi kama unavyo fikiri mdwanzi.We unafikiri usela ni kuwapora watu kuwalazimisha watu eti walale SAA tatu"
Nikweli mkuu au masihara?Mpinzani mwenyewe alikuwa MCHUMIA TUMBO
DuhJuma Nature alimjibu kwenye track iitwayo msela ambayo walipiga kolabo na ngwea na Kaka Rashid ( kr ) " Maisha ya kisela sio sawa na usela mavi kunya wazi wazi kama unavyo fikiri mdwanzi.We unafikiri usela ni kuwapora watu kuwalazimisha watu eti walale SAA tatu"
Duuh! tutalishwa matango pori sana humu ndanihapana sio kweli ..track Yakima nature ilitangulia kutoka ilitoka 2005..na hiyo ya kala pina nabii coco "" ilitoka mwaka 2007
Hahah mkuu naona na wewe umekua ni mti wa kujifinza zaidi humu ndaniTupe ukweli maana watu wanapotosha sana
KweliNikweli mkuu au masihara?
Tango pori hilo mzee usilichukueHii collabo ya Cowboy na Kiroboto niliipenda, ingawa sikujua kwamba wamemjibu Kala Pina. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji331] [emoji331] [emoji331] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]
Nilikua sijui mpinzani alikua nani shukrani kwakunijuzaKweli
Watu wanamla OHuu msemo unaniacha njia panda! Nifafanulieni.
Pina Alikuwa anamchukua mau
Ina maana hujamuelewaMwenye, kuelewa anisaidie jamani
Kumbe lord eyez kibakaNdiyo ni mwizi wa guest house za kaloleni na maeneo mengi ya starehe.
Una kipya kingine?
Alikua anapiga?Pina Alikuwa anamchukua mau