Unakumbuka Enzi za Kalapina?

Unakumbuka Enzi za Kalapina?

Wakati

Wakati unapoielezea kikosi kwa mtazamo hasi kumbuka pia hata huyo Lord Eyes wako ni mwizi mzoefu na alishakamatwa na polisi Arusha kwa kuwaibia wazungu Laptops zao na camera. Usidhani watu hatujui chief.
Ndiyo ni mwizi wa guest house za kaloleni na maeneo mengi ya starehe.

Una kipya kingine?
 
N2N waliwakuta KIKOSI tayari wanavuma. Mkuu watu wanapenda kupotosha wakidhani sis movement hatuzijui
Hakuna aliyepotosha, umeambiwa vizuri tu umeamua kupindisha, hao kikosi wakiwa na umaarufu wao wamekutana na N2N na wao wakiwa na umaarufu wao.
 
Pinna ni MC aliyewasaidia artist wengi sana ila watu wakishakuwa maarufu wanaanza kuota pembe. Hilo ndo tatizo tulilonalo asilimia kubwa ya vijana wa Kibongo. Angalia sasa hivi anahangaika na mateja sobber house nani ambaye hata anasapoti movement kama hizi?
Hebu weka list hapa ya waliosaidiwa na Pinna wakawa maarufu.
 
kalapina ...Uwa azingui ...siku ile alipomjaza ngumi chid Benz ...sialikuwa anapiga show moja pale dar sijui ilikuwa ukumbi gani ..itakuwa ilikuwa dar live au maisha club ...sasa Chid alivamia show ya Pina akachukua maiki huku alikuwa amelewa balaa...akaanza kuimba..mambo ayaeleweki na matusi sasa pina alivyomwambia aludishe maiki Chid akagoma ...ndipo hapo alipochezea kichapo...heavy.

Ila sahv kalipina naona game kaliacha ..ameamuwa Kuhost kipind flan Clouds tv kinaitwa Alakati.
Mwenye, kuelewa anisaidie jamani
 
Juma Nature alimjibu kwenye track iitwayo msela ambayo walipiga kolabo na ngwea na Kaka Rashid ( kr ) " Maisha ya kisela sio sawa na usela mavi kunya wazi wazi kama unavyo fikiri mdwanzi.We unafikiri usela ni kuwapora watu kuwalazimisha watu eti walale SAA tatu"
Hii collabo ya Cowboy na Kiroboto niliipenda, ingawa sikujua kwamba wamemjibu Kala Pina. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji331] [emoji331] [emoji331] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]
 
Pina na kikosi
full.jpg
full-1.jpg
full-2.jpg
full-5.jpg
 
Juma Nature alimjibu kwenye track iitwayo msela ambayo walipiga kolabo na ngwea na Kaka Rashid ( kr ) " Maisha ya kisela sio sawa na usela mavi kunya wazi wazi kama unavyo fikiri mdwanzi.We unafikiri usela ni kuwapora watu kuwalazimisha watu eti walale SAA tatu"
Duh
 
hapana sio kweli ..track Yakima nature ilitangulia kutoka ilitoka 2005..na hiyo ya kala pina nabii coco "" ilitoka mwaka 2007
Duuh! tutalishwa matango pori sana humu ndani
 
Hii collabo ya Cowboy na Kiroboto niliipenda, ingawa sikujua kwamba wamemjibu Kala Pina. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji331] [emoji331] [emoji331] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]
Tango pori hilo mzee usilichukue
 
Back
Top Bottom