Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Ndiyo ni mwizi wa guest house za kaloleni na maeneo mengi ya starehe.Wakati
Wakati unapoielezea kikosi kwa mtazamo hasi kumbuka pia hata huyo Lord Eyes wako ni mwizi mzoefu na alishakamatwa na polisi Arusha kwa kuwaibia wazungu Laptops zao na camera. Usidhani watu hatujui chief.
Una kipya kingine?