Unakumbuka Enzi za Kalapina?

Kuna ngoma ya kikosi walimshirikisha Belle 9 inaitwa *maisha yangu nyimbo tosha* ilikua ni ngoma kali sana ila sikuwahi kusikia ikipigwa redioni labda kwasababu ya ukali wa maneno ya Pina
Ngoja niitafute
 
Aliwahi tuma posa kwa Mr Blue, Aliwahi mteka Solo Thang
Solo Thang,alikuwa na bifu na Hashim Dogo wa kikosi.Kutokana na style yake ya kughani.Solo alikopi kwa Hashim Dogo "mwendawazimu fogo" style hiyo kwa madai ya Hashim Dogo
 
Nimeikumbuka hii clip, asiyehusika na show ashuke[emoji16][emoji16][emoji16] ila Chid alikuwa na mambo ya kingese sana. Hii clip nimeiona sikunyingi ila Leo ndio nimegundua huyo DJ alikuwa Ommy Crazy
 
Solo Thang,alikuwa na bifu na Hashim Dogo wa kikosi.Kutokana na style yake ya kughani.Solo alikopi kwa Hashim Dogo "mwendawazimu fogo" style hiyo kwa madai ya Hashim Dogo
Mi naona hazifanani
 
Huku kwetu Mtoni Mtongani kulikuwa na msela na yeye alikuwa mshamba mshamba kama Kala Pina. Yeye kila siku ugomvi na kupiga wachovu wachovu. Alitaka watu waamini kwamba yeye ndio mbabe alieshindikana.

Story inaendelea, yeye na wapuuzi wenzie wakaja kupewa kesi ya bunduki. Zile kesi zinavyokuwaga, unasomewa shitaka, upelelezi inaendelea, hakimu anatupa Ukonga, unaoza hata miaka mitatu hujaitwa tena mahakamani. Sasa hicho ndio kilichomkuta jamaa .

Demu wake kaenda kumtembelea Ukonga, jamaa kajificha anaogopa kuonyesha sura yake . Wahuni wanapiga kelele , wanamwambia demu . Bwanaako kaolewa huku. Watu washafumua malinda vibaya vibaya.

Sasa ndio hii type ya Kalapina, ubabe mwingi kumbe kuna kitu anaficha.
 
Hivi hawa wakina pina siwalikua watoto wa kishua?
Pina mtoto mwepesi tu kwanza hajawahi kulala selo si anakaa pale block opp na kwa nwakitange ......pina wengine anatuamkiaaa tu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…