Unakumbuka Enzi za Kalapina?

Unakumbuka Enzi za Kalapina?

Pinna ni MC aliyewasaidia artist wengi sana ila watu wakishakuwa maarufu wanaanza kuota pembe. Hilo ndo tatizo tulilonalo asilimia kubwa ya vijana wa Kibongo. Angalia sasa hivi anahangaika na mateja sobber house nani ambaye hata anasapoti movement kama hizi?
 
Nakumbuka alimtandika ngumi chid benzi pale maisha club, alimpiga bou nako mpaka akalazwa aga khan, Alikuwa ana gym lake block 41 ukitaka kuingi gym lazima upige push up 1000,aliwahi kumnyoa nywele salama wa eatv, yeye ndiye aliyeanzisha mambo ya kusema hiphop sio bongo flava na bado ana chuki na bongo flava mpaka leo, anapinga madawa ya kulevya ila na yeye anatumia mmea, alishawahi kupigana na p funk majani pale bongo records ilikuwa Noma, aliwahi Kuwa na bifu na kingoko, dudubaya n.k.....Ongezea mengine, Kalapina!!!!!!
Aliwahi kwenda kumchumbia Mr.Blue baada ya kuona dogo anajiremba sana na macho anarembua

Toka afanye tukio hilo dogo akabadilika akawa na mwonekano wa kiume
 
S
Aliwahi kwenda kumchumbia Mr.Blue baada ya kuona dogo anajiremba sana na macho anarembua

Toka afanye tukio hilo dogo akabadilika akawa na mwonekano wa kiume
Huo ni uzushi kama ulivyo uzushi mwingine. Na walishatoa traki yao ninayo inaitwa "UZUSHI TU"
 
Wewe unajua harakati za kikosi zilianza kipindi gani? Kama hujui sema tukusaidie mkuu. Hapa sisi ukiongea uongo tu tunakupa uhalisia kwa hiyo kama hujui sema.Movement za Kikosi watu tunazifahamu nje ndani chief.Usidhani hatujui history
Tupe ukweli maana watu wanapotosha sana
 
Wakati

Wakati unapoielezea kikosi kwa mtazamo hasi kumbuka pia hata huyo Lord Eyes wako ni mwizi mzoefu na alishakamatwa na polisi Arusha kwa kuwaibia wazungu Laptops zao na camera. Usidhani watu hatujui chief.
Hahaa
 
"Maisha yangu Nyimbo Tosha"[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Acha mkuu hiyo kitu sio poa hata kidogo [emoji119][emoji119] yule mtoto wa Morogoro alitenda haki humo
 
Nimefatilia sana huu uzi unaonekana kama kuna mambo either unayajua kuhusu kikosi na PINNA ama unataka kuaminisha watu kwamba unajua ila hujui lolote.. Funguka mkuu ili kuondokana na adha ya kujibu mtu mmoja mmoja.
 
Nikisema baadhi yetu hatuna uelewa wa kutosha kuhusu HIP HOP movement mnabisha. Ndio maana toka mwanzo niliwaambia humu ukiongea uongo lazima utaumbuka tu

Nimefatilia sana huu uzi unaonekana kama kuna mambo either unayajua kuhusu kikosi na PINNA ama unataka kuaminisha watu kwamba unajua ila hujui lolote.. Funguka mkuu ili kuondokana na adha ya kujibu mtu mmoja mmoja.
 
Niliwahi kumkubali sana...namaanisha nilimkubali haswaa yeye na kikosi chake, lakini baadaye nikazarau sana na bado namzarau haswaaa....kwenye wimbo wa umoja ni nguvu kuna mstari alisema harakati kazi ngumu wengi wanazikimbia ndicho yeye alichokifanya, ghafla akaanza kutuimbia nyumba za kichumba chumba...kama haitoshi ghafla akaenda CCM......fala sana huyu jamaa
 
Siku hizi hakuna maisha ya hivi. Zamani zijana waliishia maisha ya ajabu sana mtu anashinda gym tu muda wote akirudi nyumbani anakula msosi kama kawa alafu faida yake inakuwa kutishia watu kitaa kwakuwapiga na ubabe usio na maana kabisa
 
Huu msemo unaniacha njia panda! Nifafanulieni.

tapatalk_1524416649314.jpeg
wanampima tezi dume
 
Back
Top Bottom