mkali kwanza
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 1,301
- 1,181
Pinna ni MC aliyewasaidia artist wengi sana ila watu wakishakuwa maarufu wanaanza kuota pembe. Hilo ndo tatizo tulilonalo asilimia kubwa ya vijana wa Kibongo. Angalia sasa hivi anahangaika na mateja sobber house nani ambaye hata anasapoti movement kama hizi?