DuuhYou seem to be a good boy...tell you what ? Wanawake hawawapendi good boys...mpelekeshe...siku moja usurudi nyumbani...nenda disco lala sehemu nyoa nywele zote mwilini km yule DJ wa gongo la mboto....atanyooka au piga chini leo leo huyo freak atakutesa
DuuhDah unaoataje nafasi ya kurevenge halafu unaitumia vibaya hivyo.....
Huyo unamkubalia anarudi kuwa na wewe, then siku moja unatafuta demu pisi kali mdangaji unamuomba aje maskani saa sita za usiku. Mpange kabisa kuwa upo na mwanamke unataka kumpa shida kidogo.
Avae kikorofi ile ya kutamanisha utamu nje. Then wewe siku hiyo mtengenezee mazingira demu wako mlale mapema sana saa tatu au nne hivi.
Akifika unamfungulia, then unampokea na deep sloppy kiss moja ambalo halikatishwi hata na mlipuko wa bomu. Unafunga mlango wa chumbani ufunguo unatoa katika kitasa. Unapanda na yule demu kitandani mnaaza kupeana kazi nzito wazi wazi bila kuogopa.
Yaani yeye muwe kama hamumuoni. Unapiga mashine ile kiugwadu na huyo demu aonyeshe ushirikiano..... Demu wako akitaka kuleta fujo unamtuliza then unaendelea kutoa mgegedo..... Unamwambia hebu tulia wakati najiongeza na huyu anae nipenda..... Tulia mbwa wewe nakwambia....
Hii ni massive dis-respect
mkuu hukumnyangβanya ? ,mimi ningeichukua
I am a woman. Mwanamke yeyote uliyeko nae kama hana huruma na wewe hasa pesa achana nae. Hakupendi. Sijui kwanini watu hawanaga huruma
Halafu mkikutana na wastaarab mnawaita ma zoba...why? Ushazoea mpera mpera hahaaaaTo me its very difficult. I am not an angel. Nakosea and i always apologise. Kitu siwezagi ni kugombana na mtu nayempenda. I always wall away to keep my inner peace. Kugombana na mtu nampenda ni too big tesion for me. And too bad nakutana na hawa narcissists sana. Sijui kwanini. They always play victims
HahaaaAlikuwa mkweli akasema NO CHEMISTRY....
Alhamdulillah
Wastaarabu tunaitwaga mazoba, just because we ain't dramatic and act sane all the time. Watoto wa kike like some crazy shit to be done on them at times! Mtu mstaarabu hawezi fanya mambo ya kuudhi while anajua yeye hapendi kufanyiwa but guess what? It works differently to these girls. Atalalamika yuko abused he wants a man with sanity akipata baada ya muda ataanza kusema the guy is boring anatamani apate chizi tenaπππHalafu mkikutana na wastaarab mnawaita ma zoba...why? Ushazoea mpera mpera hahaaaa
Hahaaa that's how they are... anaweza kukujaribu akisema nipige... nipige sasa kama we mwanaume kweli... yaani some are full of dramas kwa kweli...Wastaarabu tunaitwaga mazoba, just because we ain't dramatic and act sane all the time. Watoto wa kike like some crazy shit to be done on them at times! Mtu mstaarabu hawezi fanya mambo ya kuudhi while anajua yeye hapendi kufanyiwa but guess what? It works differently to these girls. Atalalamika yuko abused he wants a man with sanity akipata baada ya muda ataanza kusema the guy is boring anatamani apate chizi tena[emoji23][emoji23][emoji23]
πππ nilikuwa nikiwaambia kaka zangu na walinipiga kweli Yani.Hahaaa that's how they are...anaweza kukujaribu akisema nipige... nipige sasa kama we mwanaume kweli...yaani some are full of dramas kwa kweli...
Hao kakazako nahisi tunafanana itikadi πππ!!! Mwenyewe ningekutia makonzi... mtoto wa kike unaanzaje kuwa mbabe? Utasumbua mume bora unyooshwe ungali kinda.πππ nilikuwa nikiwaambia kaka zangu na walinipiga kweli Yani .
π€£π€£Yani utoto muda huyo kafupi ila maneno mengi nguvu za kipigana Sina Yani wakuwa wananipiga au warushiane Yaani wananibeba juu juu halafu wanarushina naliaaa weeeHao kakazako nahisi tunafanana itikadi πππ!!! Mwenyewe ningekutia makonzi...mtt wa kike unaanzaje kuwa mbabe? Utasumbua mume bora unyooshwe ungali kinda.
Yeah lazma uwapende cause they taught you something ambacho unanona msaada wake sahizi.πππ Thats how brothers should be!π€£π€£Yani utoto mda huyo kafupi ila maneno mengi nguvu za kipigana Sina Yani wakuwa wananipiga au warushiane Yan wananibeba juu juu halafu wanarushina naliaaa weee
Sema walinifunza Sana saivi nawapenda na kuwaheshimu sanaa
So mwanamke inabidi u- deal naye vipi?Nshaombwaga misamaha a million times before sijakung'uta mikono na kusonga mbele kama injili.
Tangu hapo nilitambua mwanamke ni mtu wa aina gani na jinsi ya ku deal nae. Harsh reality!
Ulivyokuwa ukiwaambia ulitegemea Nini[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] nilikuwa nikiwaambia kaka zangu na walinipiga kweli Yani .
Nilikuwa nataka tu nione maana nilijuwa hawawezi nipiga et me mdogo sasa siku hiyo walichonifanya Aiseeπulivyokuwa ukiwaambia ulitegemea Nini[emoji16][emoji16][emoji16]